Recent content by Meshe

  1. Meshe

    Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

    Kuna kitunkinaitwa investment portifolio na namna ya kujikinga na majanga. Kisukuma wanasema do not out all your eggs in one basket. Sasa hapo sijajua kama umewekeza sehemu nyingi na hiyo ya CRDB ni mojawapo au ni aje. Unatakiwa kuwekeza sehemu tofauti tofauti ili mojawapo ikifanya vibaya...
  2. Meshe

    GE2025 Polepole siyo sahihi kwa ndugu wa viongozi kupewa kipaumbele kwenye teuzi?

    Mie naona sawa tu!! Watu badala ya kuungana kudai katiba na sheria mpya za uchaguzi tunashinda humu kuikosoa CCM ambayo haitaki kubadili hizi sheria mbovu. Kuwa kiongozi sio wananchi wakukubali bali vingunge wa CCM wakukubali!! Tumekubali kuwa mazuzu wacha watuburuze watakavyo!! Mwishoni...
  3. Meshe

    Taratibu jamani hayaa, tutaonana wabaya hayaaa, viongozi wa dini hususani maaskofu

    Moderator hizi post za CHUKI za kidini haxina afya kwa jamii yetu yenye uhuru wa kuabudu!!
  4. Meshe

    PreGE2025 Ni sheria gani imetumika kuzuia Viongozi wa CHADEMA kusafiri nje ya nchi?

    Hata Mahatma Gandi, Martin Luther, Mandela, Hichilema na Nyerere walikuwa wanaharakati!!
  5. Meshe

    Tunawazidi KQ kwa haya

    Msaada: NI KIPI HASWA AMBACHO TANZANIA IMEIZIDI KENYA?🤔 1. Kwenye taarifa ya innovation duniani (WIPO) Tanzania ipo nafasi ya 120, wakati Kenya ipo nafasi ya 96. 2. Kwenye Human Development Index, Tanzania ipo nafasi ya 165, Kenya wapo nafasi ya 143. 3. Kwenye taarifa ya Maendeleo ya Vijana...
  6. Meshe

    PreGE2025 Boniface Mwangi amepigwa na kuteswa na mamlaka za Tanzania na kutelekezwa Ukunda, familia yake yathibitisha

    Hivi nyie mkoje? Yaani hamjui tena kutofautisha uovu na wema??
  7. Meshe

    PreGE2025 HECHE: Nilimshauri Magufuli lakini hakunisikiliza

    Tumwalike Traore Ibrahim aje atuambukize maarifa ya kutumia rasilimali!!
  8. Meshe

    PreGE2025 CHADEMA kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli

    Wala wewe sio mlengwa kwenye kuchangia tuache!! Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe. Wewe endelea na mkataba wa Bandari Bagamoyo!! Utasaidia kizazi chako na wajukuu zako!!
  9. Meshe

    PreGE2025 Cyprian Musiba: Muunganiko wa Heche na Lissu itatupa tabu CCM, Mbowe sio mgumu

    Musiba bwana!! Badala asalimie aeleze habari za alikokuwa anaanza mojakwa moja na mada. Haya tumekusikia. Akilo imeridi kichwani. Tuambie za huko mafichoni!! Ananikumbusha wimbo wa ntoke vipi!!
  10. Meshe

    David Kafulila kasema asiyetaka kulipia barabara aende kwenye za bure kupambana na foleni

    Serikali haina hela inawaalika wenye hela wajenge barabara za ziada za kulipia. Hii itapunguza gharama kwa serikali ili iweze kupeleka hela zaido TANROAD na TARURA. Wazo ni zuri kama likisimamiwa vema!! Mimi namuunga mkono TAL uwenyekiti!!
Back
Top Bottom