Recent content by Meshacky Allyson

 1. Meshacky Allyson

  Dada: Mwanaume Hatulii Bali Anatulizwa

  [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 2. Meshacky Allyson

  Dada: Mwanaume Hatulii Bali Anatulizwa

  Unamjua huyo [emoji847][emoji51][emoji851]
 3. Meshacky Allyson

  Dada: Mwanaume Hatulii Bali Anatulizwa

  Habari wana Jf , natumai mu wazima wa afya , natamani kushare hii kitu na dada zetu , Ni hivi dada always kaa ukijua , mwanaume hawezi kutulia mpaka umtulize , mindset ya boys ni kwamba ni watu wa matokeo zaid , yaan haamini mpaka aone jambo flani unalomwaminisha limetokea , Hawaoi kwa sababu ya...
 4. Meshacky Allyson

  Unaifahamu kampuni yoyote inayofanya door to door marketing?

  Startimes Bamaga pale No za simu sina
 5. Meshacky Allyson

  Vitu gani unazingatia, wewe binafsi kabla ya kuingia kwenye mahusiano?

  Habari wana JF, Natumaini mu wazima wa afya ni Dua na maombi yangu kwa mola ,azidi kuwalinda na kuwapa maarifa na hekima ili tuzidi kufundishana na kupeana mawazo, Narudi kwenye mada. Binafsi nipo single na huwa nikikutana na marafiki au washkaji zangu, wengi huwa nikiwauliza why umeingia...
 6. Meshacky Allyson

  Ushauri, nina wivu uliopitiliza

  Hahaha acha hizo Demi
 7. Meshacky Allyson

  Ushauri, nina wivu uliopitiliza

  Kumyima mtu uhuru, unamtengenezea kuwa na maisha ya unafiki, Mwache mtu awe huru, itakusaidia kujua tabia zake..., Ili utafakari kama unaweza kuzibeba au la..! Ili huko kwenye ndoa upambane na kasoro zake tu na sio tabia tena maana tabia tiyari unazijua na umekubaliana nazo kuzibeba
 8. Meshacky Allyson

  Je, kwa kufanya haya utanogesha penzi lako?

  Habari wana Jf, Nimekuwa nikifuatilia nukuu mbalimbali kwenye vitabu nk. Je kuna ukweli wowote juu ya hili, kwamba Wanawake ni vyema kuwaonyesha wanaume zenu kuwa mnawapenda sirini na sio hadharani. Yaan in public kwamba huyo ndio mwanaume wako kila mtu ajue. Hii inasemekana wanaume wengi...
 9. Meshacky Allyson

  Kitu gani kinakupa uhakika kuwa unapendwa kweli na mwenza wako?

  Habari wana JF, Kumekuwa na tafsiri nyingi tofauti juu ya kupendwa, hebu kama wewe ni mwanaume au mwanadada tuelezane ni mambo gani yanaweza kukuhakikishia kwamba unapendwa kwa dhati na mwenza au mpenzi wako... Pia soma: Do you feel LOVED?
 10. Meshacky Allyson

  Hivi ni kwasababu ya geto au akili ya mtu tu kuendekeza uzinzi?

  Hi wana JF, naomba niende kwa mada moja kwa moja, Binafsi Nimekuwa na marafiki wengi washkaji nk .ambao kiukweli tumekuwa wote tangu utotoni Hivyo tabia zao kwa kiasi kikubwa ninazijua vzr sana ,Ni nzuri na za Hofu ya Mungu Kwa kiasi flani Ila Cha kushangaza wengi wao wakipata neema ya kuhama...
Top Bottom