Meshacky Allyson
Senior Member
- Oct 29, 2020
- 130
- 252
Wadau mambo vipi
AsanteNdugu yangu kwanza pole kwa changamoto hiyo,ila ushauri mzuri tu napendekeza uende internet cafe ukaendelee na hiyo process kwa maana wao washakua wazoefu
ukiona imeandika hiviWadau nimekwama ndio nimeanza leo harakati za kuomba mkopo.. nimekwama hatua za mwanzo kbsa..yaan nimelipia naanza weka password na na jibu laswali iwapo password ikipotea...sasa naona inaniandikia hivi..
Natokaje hapa wadau..
Yaan mapema hivi ishaanza kuwa jau..[emoji22]
Natumia simu.. au sababu ndio hiyo.
View attachment 2754987
Asante nishafanikiwaukiona imeandika hivi
nenda moja kwa moja kwenye page ya log in as registered user
maana yake apo umeshajisajili
ouky karibuAsante nishafanikiwa
pamesumbua sehemu gani?Aliyefanikiwa eneo la demographics please.
Sasa hivi nimekwama eneo la mdhamini, browser haioneshi chochote kile.pamesumbua sehemu gani?
Hata eneo la picha inazingua pia mkuupamesumbua sehemu gani?
picha umeweka kulingana na size wanayosema?Sasa hivi nimekwama eneo la mdhamini, browser haioneshi chochote kile.
Unatumia browser ipi mkuu?picha umeweka kulingana na size wanayosema?
Google ya kawaida tuUnatumia browser ipi mkuu?
Naomba nikutumie details unisaidie mkuuGoogle ya kawaida tu
picha nikienda stationary waka risize hizo picha nikatumiwa kwenye simu nami nikazituma,nadhan ungeenda stationary wakarisize hizo passport sizeNaomba nikutumie details unisaidie mkuu