Zitto ni kijana mdogo na akiyeletwa kwenye chama sharti awaeshimu waliyomkuza na kumlea! Tatizo anadanganywa na Kina Jack Zoka,na viongozi wa Ccm kuiua chama chake sharti Zitto aombe msamaha kwa wakubwa aache sifa! Zitto kumbuka before his downfall man's heart is proud bt humility comes before...
Huo uchambuzi c kweli hata mara1 mfanya chunguzi ametumia vigezo vipi kubaini hilo! Je data ya kufanya resaerch amekusanya kwa nani! Hapo kwa upande mwingine ni ishara kuwa Ukawa wakaze buti bila ccm Tz inawezekana!
Nzuri sana kaka hapo Banana sehemu gani au km vile,waelekea kitunda? Mm Niko fiti English,kiswahili na history nimemaliza first Degree atSekomi lushoto Nipe Ramani plz!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.