Recent content by Merr

  1. Merr

    Natafuta nafasi ya kazi, ualimu shule ya msingi

    Habari mimi ni kijana Umri miaka 24 natafuta nafasi ya kazi ya ualimu wa Shule ya msingi, niko mkoa wa katavi wilaya Mpanda mjini. Mawasiliano 0621364039 sms pekee au whatsapp namba 0687305692 AKHSANTE
  2. Merr

    Natafuta kazi, nipo Mpanda

    Mimi ni binti nipo mkoa wa Katavi, wilaya ya Mpanda. Natafuta nafasi ya kazi yoyote hata duka ila nimesomea uuguzi, ila ninamatatizo ya masikio sisikii vizuri. Nimewahi kujitolea zahanati sehemu mbili. Mawasiliano yangu 0621364039 ila ujumbe pekee na sio kupiga kutokana na matatizo ya masikio
  3. Merr

    Uongo mpya wa walamba asali (Honey Badgers)Mama amerithi nchi imefilisika

    Rais wa awamu ya tano anajitahidi kufata nyayo Za JPM, japo hajafika pale tunapotaka ila anatekeleza aliohaidi
  4. Merr

    SoC02 Kilimo kinalipa

    KILIMO ni shughuli ambazo hufanywa na wakulima au mtu yoyote anaehitaji kuwa mkulima. Mfano kilimo cha mahindi, mpunga, n.k KILIMO nishughuli ambayo hapo zamani ilikua inatumika Sana hasa vijijini na ndo shughuli maharufu tangu hapo zamani. KILIMO huleta faida kubwa kwa wakulima mara baada ya...
Back
Top Bottom