Recent content by Merciana

  1. Merciana

    Mahusiano ya familia yangu yananiharibu kisaikolojia

    Kabla ya kuandika mahitaji,mwambie babaako unadeni la ada bado halijalipwa.Siku zote alikua wapi atake kuja kusherehekea mafanikio asiyopanda mbegu.
  2. Merciana

    PreGE2025 Luhaga Mpina: Nchi sita za Afrika zilizopindua Serikali zao zilikuwa sahihi

    CCM inahisi inahati miliki ya kutawala.Ila ipo siku kuna kitu kitatokea japo sijui ni lini.
  3. Merciana

    Mkioa/Kuolewa mtulie kwenye ndoa

    Kwa hali hii mauji yanaweza yasiishe,unamtoto mdogo wa kunyonyesha na bado unakutuna na wanaume wengine.Kuna muda Wanawake sijui tunakuwaje
  4. Merciana

    ifike mahali sheria ya mavazi itungwe hasa kwa wanawake.

    Sasa mumewe hajalalamika,wewe ndo ulalamike?we mchunge mkeo tu.
  5. Merciana

    Kisa cha Penina wa Goba, mrembo aliyeuawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa kama kuni

    Itakua alijipost status akiwa na mzazi mwenzake labda, Na kumbuka aliondoka bila kumuaga Uyo Msukuma na baada ya kutoka safari hakufika nyumbani akaishia grocery.... Sema vifo vingine tunajitakia tu kwa lazima.
  6. Merciana

    Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

    Eeh nimecheka Subaru kweli aisee
  7. Merciana

    Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

    Alisoma TIA ya Mbeya Sasa sijui alikua level ipi
  8. Merciana

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Dunia hata haichanganyi ila wewe ndo unajichanganya. Mtu kashazalishwa huko wewe bado unamuendekeza kuwasiliana naye wa Nini? This time akuue kabisa ukome.... Shwain
  9. Merciana

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    Uje basi utupe mambo ya DSTV
  10. Merciana

    Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Pole sana kwa uliyoyapitia, wanaume hawafanani kikubwa kuangalia ustawi wa watoto wako kakita hiyo ndoa yako mpya. Na je ndugu wa huyo mume wako mtarajiwa wanajua kama unawatoto? Maana chokochoko huanzia hapo.
  11. Merciana

    Caption this philosophical way of making

    Na ndio zao la hao watoto waliotumbukia shimoni, wamekua vishetani kuanzia utoto wao.
  12. Merciana

    Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

    Swala la kuwa na watoto wengi au wachache ni maamuzi ya mtu binafsi. Ukizaa wengi uwe na uwezo wa kuwahudumia. Kwa mimi binafsi tangu napata akili sikuwahi kutamani kuwa na watoto wengi.
  13. Merciana

    Wanawake acheni kuposti mitandaoni mnapokasirika, wife aliwahi kujuta

    Ungekua unamkazia mama J ivyo,kama ulivyomkazia mkeo ungekua umejiepusha na chuma ulete siku nyingi.
Back
Top Bottom