Recent content by Meragraphics

  1. Meragraphics

    JamiiForums Tanzania Ukinunua nguo za ndani au taulo dukani yafaa kuanza kutumia au ufue kwanza kabla ya matumizi?

    Nguo ni Mpya ufue ya nini mbona ukipata mpenzi Mpya huendi kumbatiza kwanza
  2. Meragraphics

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2024 unakuachia kumbukumbu gani ambazo unadhani hautaweza kusahau?

    Kitu gani ambacho kimekutokea au umekishuhudia mwaka 2024 hautakisahau
  3. Meragraphics

    JamiiForums Tanzania Leo katika historia

    Hapo ndo unapokuja msemo kuwa siasa Mchezo mchafu
  4. Meragraphics

    JamiiForums Tanzania Leo katika historia

    Siku kama ya ya leo December 27 mwaka 2007 aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke nchini Pakistan Benazir Bhutto aliuwawa kwenye shambulio la kujitolea mhanga huko Rawalpindi, Pakistan alipohudhuria kwenye mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa kisiasa.
  5. Meragraphics

    JamiiForums Tanzania MWAKA UNAISHA HAKUNA ULICHOFOSI

    Bado siku chache tu kabla mwaka wa kufosi (2024) kuisha je, Kuna ulichofosi au ndo hayatuhusu🤔🤔?
  6. Meragraphics

    JamiiForums Tanzania Tunakifa kizembe sababu baadhi ya alama za barabarani hatuzijui

    Ohooooh🥺🥺 sasa si mnafundishwa driving school babu au imekaaje hii
  7. Meragraphics

    JamiiForums Tanzania MNAOGEUZA MABANGO YANAYOONESHA LOCATION ZA MTAA MNATUPOTEZA WAGENI

    Kuna baadhi ya watu wasiojielewa wamekuwa na desturi ya kuchezea vile vibango vinavyoonesha location za mitaa mwisho wa siku wanavigeuza Yaani kama mtaa upo mashariki basi kile kibango kinageuziwa magharibi. MNATUPOTEZA wageni
  8. Meragraphics

    JamiiForums Tanzania Tunakifa kizembe sababu baadhi ya alama za barabarani hatuzijui

    😂😂Hapo sasa Kuna mawili aidha wamefanya marekebisho ya barabara wakasahau kuweka Tena tuta au viwango vya barabara ni vya mchongo so tuta limelika baada ya kutumika sana
  9. Meragraphics

    JamiiForums Tanzania Tunakifa kizembe sababu baadhi ya alama za barabarani hatuzijui

    Alafu Kuna Hawa bodaboda Yaani wanadrive as if wanatembea kwa miguu. They don't care😒😒
  10. Meragraphics

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu

    Unazungumzia pikipiki au kipikipi? 😂😂
  11. Meragraphics

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu

    Kwamba pikipiki laki 8?
  12. Meragraphics

    JamiiForums Tanzania Kama ajira hazipo Kuna umuhimu wa vijana kwenda kwenye mafunzo JKT?

    Kumbe wanaenda kufanya nini kule
  13. Meragraphics

    JamiiForums Tanzania Kama ajira hazipo Kuna umuhimu wa vijana kwenda kwenye mafunzo JKT?

    Suma JKT haimtoi mtu kimaisha ni utumwa tu
  14. Meragraphics

    JamiiForums Tanzania Kama ajira hazipo Kuna umuhimu wa vijana kwenda kwenye mafunzo JKT?

    Sasa umekataa nini umekubali nini?
Back
Top Bottom