Sisi mashabiki wa Mandonga mtu kazi bendera ya kuzimu , mvamia mitumbwi ya vibwengo Leo tunaamka saa ngapi 😂😂😂?
Ila kitu kimoja ambacho tuna uhakika nacho toka kwa bondia wetu ni kupigwa .
😂 utopolo bhana Kumbe jezi zao mpya waliiga kutoka sehemu fulani ila wao kwazidisha madoido matokeo yake kututia aibu tu .. ama kweli nyuma mwiko mbele mwiko 💚💛
Habari wakuu... Kwanza kabisa inatakiwa tuelewe kuwa kuna tofauti Kati ya kutengeneza pesa na kutafuta pesa. Mimi na wewe tunajua namna ya kutafuta pesa lakini watu matajiri wanajua namna ya kutengeneza pesa.
Tofauti ya kutengeneza pesa na kutafuta pesa ni kuwa pesa haitaki kuonwa wala...
Kwa upande wangu naona haya mabadiliko ya Mh. Anthony Mtaka yalikuwa hayastahili kwa sasa . Sio kwamba mamlaka imekosea , hapana ila naona kama dodoma especially wamachinga na bodaboda na vijana bado walikuwa wanamuhitaji.
Ila zaidi watu wa Tanga tunahitaji mtu kama huyu 💪
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.