Recent content by MENGELENI KWETU

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ufanyike uchunguzi wa kina na wa sirisiri kwa viongozi wanaokufa ghafla

    Huna akili kabisa wewee.. Huna akili kabisa wewee..
  2. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mpaka sasa, Jakaya Mrisho Kikwete hajalaani mauaji ya WaTanganyika!

    Hiyu ndio mshenzi no 1.. Jk ndio muasisi wa utekaji kwani ndie aliemteka Dr Ulimboka.. Huyu ndio anampa kichwa Samia.. Ee MUNGU shusha pigo lako sasa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Tumesikitishwa na taarifa za shirika kuhusishwa na matukio ya Kihalifu

    Ee MUNGU shusha pigo lako..
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!

    Kuichukia serikali/regime sio kosa..na wala sio kukosa uzalendo.. Kukosa uzalendo ni pale mtu unapojenga chuki na kuibagaza nchi yako.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema sasa umaarufu unampa kiburi cha kutukana watumishi na kudhihaki jina la Yesu

    Bado nahangaika kutafuta tusi alilotukana Lema kwa Malasusa..
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nikimuangalia Diamond naiona Sura ya Umiliki wake wa Wasafi Media, ila kila nikimuangalia Ali Kiba siioni Sura ya Umiliki wa Crown Media?

    Umiliki wa Wasafi navyofahamu mpaka sasa Kusaga hachaachia/ hajauza hisa zake.. Kusaga 51% Diamond 47% Mama Diamond 1% Na mtu mwingine nimemsahau 1%
  7. M

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Ni heri kuwaombea Azzory na Saanane Ben waliopotezwa mazima.
  8. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco customer care is *** off...!!! Nawapigia zaidi ya 15min now kwenye options zote za Kiswahili na Kiingereza lakini naambiwa mnahudumia wateja wengine..ni uongo kabisa..mmeweka Simu zenu kwenye busy tone/answering machine mpo busy as if kuna wemgine mnawahudumia kumbe ni uongo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nawaelewa sasa “Mvuto wa Rais kupungua“

    Nimekupata Mkuu Pasko hapo wenye..mivuto ya ukweli tutaiona Oktoba 2025......
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jerald Hando wa Wasafi Media amshambulia vikali Salma Said wa DW kwa kuponda tamasha la Kizimkazi

    Gerald Hando na Maulid Kitenge sasa tena sio waandishi wa habari /news anchors rather they are news comedians.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mabadiliko ya mawaziri si adhabu

    Hana jipya kabisa huyo Maushungi
Back
Top Bottom