Recent content by MENERIKI II

  1. MENERIKI II

    Hammo Rapper apigwe marufuku kuongea kiingereza. Analitia aibu taifa

    Watanzania wengi ni watumwa wa lugha. Hata uwe vipi usipojua English watakuona si chochote kabisa,sasa cha ajabu hawamshushi thamani Mchina asiejua kuongea kingereza.
  2. MENERIKI II

    Kwanini hakuna Hospitali au Taasisi nyingi kubwa za Kiislamu licha ya matajiri wengi kuwa Waislamu?

    “Mayahudi Hawawi Radhi Nawe, Wala Wakristo, Mpaka Ufuate Mila Yao” [Al-Baqarah: 120]
  3. MENERIKI II

    PostGE2025 Vatican News: The President of the Tanzanian Bishops’ Conference says Protesters were killed without mercy

    Ndio maana huwa siamini kama yanayotokea ni mambo ya kisiasa. Wanasihi sana waislam wawe makini sana kwenye hili wasije jichimbia kabuli lao wenyewe.
  4. MENERIKI II

    Heche amjibu Msigwa 'SGR unamjengea nani kama mnaua watu'

    Yeye Heche hapo ni nani Mnyama au mti ?
  5. MENERIKI II

    Lissu na Samia, Maaskofu na Mashekhe

    Tuendelee kula mtoli nyama zipo chini
  6. MENERIKI II

    SOMA: Ujumbe Kutoka Zanzibar Kuelekea Dec. 9. 2025

    Zanzibar gani hiyo,watanzani wengi ni Bendera yaani ubaamua tu uipulize kutokea upande upi na inafuata tu
  7. MENERIKI II

    Tusikubali kutolewa kwenye reli kuelekea D9 mambo muhimu ya kuzingatia

    Yeye anafaidika na nini katika hilo,au ujiulizi kwakua unapenda vya bure?
  8. MENERIKI II

    PostGE2025 Wananchi wote hawakutaki, hauko sawa na Kagame, Unagombana na Kenya halafu unalazimisha ugomvi na Marekani. Aliyesema akili ni nywele hakukosea

    Hivi kwanini wakenya,ikiwa Tanzania tumepakana na Nchi zaidi ya 7 hawa majirani wengine mbona vijana wao hawalalamiki kua wameonewa Tz.
Back
Top Bottom