Recent content by mendez-digala

  1. M

    Naombeni updates za HESLB Batch 2023/2024

    Kuna watu wamepata batch la Leo wakuu
  2. M

    Second batch HESLB 27/10/2023

    Wakuu nauliza Kuna aliepata batch 2?
  3. M

    Research consultancy and advisory page

    Me nauliza mfqno na conduct research ya covid 19 impqcts in supply chain, katka mkoa x na taasisi y iliyopo mkoa x, je ni research design ipi ni tumie apa, na je sample size and sampling techiques ipi nithmie? Kama target population ni 150?
  4. M

    Research design ipi ni nzuri kutumia kwa title ya pandemic outbreak kama COVID-19?

    Wakuu habari za weekend, Naomba kuuliza, hivi unapo conduxt research kwa title za natuaral disaster kama COVID-19 , NI RESEARCH DESIGNI ipi ni nzuri kuitumia hasa kama unatumia case study ya mkoa mmoja katika taasisi moja? Na je sample size and techiniques , katika designi iyo ni ipi ina kuwa...
  5. M

    Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

    Ukiniita NYANDA = uyu tulikuta pale msakila primary Ukinita BISHOO// MIDO, UYU tulikutana pale rugwa, Ukiniita Ginimbi, uyu wa pale hombolo dodoma ukiniita jay najua uyu ni wa mzumbe 🤗🤗
  6. M

    Akaunti yangu ya HESLB inaonesha hivi, kuna tatizo gani?

    wakuu batch ya pili teali imetoka leo kuna dogo kapata leo
  7. M

    Akaunti yangu ya HESLB inaonesha hivi, kuna tatizo gani?

    teal batch ya 1 mkuuu, sema kimya kimya no news
  8. M

    Akaunti yangu ya HESLB inaonesha hivi, kuna tatizo gani?

    naam kak lkn ata uwe na special.case kwene boom jwa hakuna utofauti wowote utofaut upo kene ada na mambo mengne lakn si kwenye boom meal qnd accomodation jwa eqal kaka
  9. M

    Akaunti yangu ya HESLB inaonesha hivi, kuna tatizo gani?

    dah boom kama limeongezekq mwaka huu, mwaka jana ilikuwa 2084000, mwaka huu 2240000😎😎 ebhana kwahyo mnapewa 561k kila baada ya miez 2,, safii
  10. M

    Akaunti yangu ya HESLB inaonesha hivi, kuna tatizo gani?

    dah boom kama limeongezekq mwaka huu, mwaka jana ilikuwa 2084000, mwaka huu 2240000😎😎 ebhana kwahyo mnapewa 561k kila baada ya miez 2,, safii
  11. M

    Kwa ulimwengu huu wa sasa Fani ya Procurement bado inafundishwa vyuoni kwa sababu gani?

    inshu niliyo iona hqpa ni kuwa kuna tatizo flani mtu kuiamini taaluma yake ni bora zaidi ya taaluma zingine, serious unakuja bilq hoja unasema procurement ifutwe? kisa et self employment? haya nikakuambia kuwa unaweza kufungua warehouse near port au railwy station, hoja ikawa kuwq ni ngumu kwa...
  12. M

    Kwa ulimwengu huu wa sasa Fani ya Procurement bado inafundishwa vyuoni kwa sababu gani?

    😅😅tuendelee kumpa nondo mwana aelewe, yakuwa ugavi na manunuzi ni taaluma nyeti mnoo, waziri mkuu majaliwa aliwahi sema taaluma ya procurement ni muhimu ivo wwandaliwe watu wenye weledi ili kuepuka risks mbalimbali serkarini, dah nataman ni mshusbie fact mda hautoshi😁, kaka mtoa mada naomba...
  13. M

    Kwa ulimwengu huu wa sasa Fani ya Procurement bado inafundishwa vyuoni kwa sababu gani?

    kaka ipo ivi kama mtu anasoma enterprnuership, marketing (prochrement anavisomq ivi) apa kuna marketing research and investigation anapoamua kufungua biashara ya kufanya taaluma yake ataitumia kwa mfano hii handling au dispatching inamuwezesha kufanya delivery ya bidhaa zako at 5Rs, jambo...
Back
Top Bottom