Ingependeza kama ingesomeka vinginevyo 'USHINDI WA OBAMA NI FUNDISHO KWA CHAMA TAWALA' Kwa siasa za tanzania hatujawahi bado kuwa na chama mbadala katika uongozi hivyo chama dola kilichopo madarakani kwa sasa kina mengi ya kujifunza kutokana na udhaifu mwingi uliyojitokeza katika chaguzi nyingi...
Jukumu la kusaidia ustawi wa jamii ya nchi yetu tungetegemea chama cha wanasheria kiwe mbele kwa hilo, hata hivyo vyama vingine vya wanataaluma wana jukumu sawa kusaidia ustawi wa taifa letu.Kimya cha wanasheria na vyama vingine vya wanataaluma kukaa kimya wakati mambo yanaenda sivyo ni aibu kwa...
Vijana wametumia haki yao ya kutoa maoni yao lakini kabla ya yote ilipaswa walizungumzie swala la msingi la kunyimwa haki yao ya kushiriki katika zoezi la kupiga kura kwa baadhi yao ambao vyuo vilikuwa vimefungwa wakati wa uchaguzi nao wakiwa mbali na sehemu walizojiandikishia kupiga kura.Ni...
Originally Posted by menda Hebu nifahamisheni ndugu zanguni!hawa wastaafu wa jumuiya YA AFRIKA MASHARIKI kwa upande wa Tanzania wataendelea kusota mahakamani,barabarani kwenye jua mpaka lini?Wenzao kwa upande wa Kenya na Uganda wamelipwa marupurupu yao muda mrefu sasa .Je kwa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.