Shukrani kwa mchango wako Ziroseventytwo 🙏
Kupitia jarida hili tumegusia mengi na mazuri ya utambuzi kwa vijana, tunaomba upitie kisha utapatie maoni kipi cha kutekeleza.
Mema Tanzania Jumamosi ya tarehe 17 Aprili, 2020 tulizindua jarida la Mema Magazine toleo la kwanza linalofahamika #Tumesomeka likiwa katika programu maalumu ijulikanayo kama Sauti Huru. Jarida hili limesheheni maudhui yanayohusu masuala yafuatayo;-
Afya na usawa na kijinsia
Uraia na...
Tuangazie #Rushwa
Rushwa ni aina ya ukosefu wa uaminifu au kosa la jinai linalofanywa na mtu, taasisi, au shirika lililopewa madaraka, kujipatia faida haramu au kutumia nguvu vibaya kwa faida binafsi.
Rushwa inamaliza imani, inadhoofisha demokrasia, inakwamisha, maendeleo ya uchumi na...
Kila mwaka ifikapo tarehe 6, Februari dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukeketaji.
Je, unatambua wanawake na mabinti takribani milioni 7.9 wamepitia ukeketaji Tanzania?
Licha ya serikali na wadau mbalimbali kupambana vilivyo na ukeketaji, kuna maeneo bado ukeketaji dhidi ya...
"Elimu ni ufunguo wa maisha". Moja ya msemo ambao tumekuwa tukiusikia tangu awali. Ni kiasi gani msemo huu umeakisi maisha yako baada ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu?
Our Live #YouthChat Series continues with a Bang! After Danny Morgan, Cooogi, Erick Gyabo and many more - this Wednesday 7th we are going a little bit deeper into the business.
We are proud to present you our next Guest. LyRanda Aalece singer/songwriter & our goodwill ambassador Ms. LyRanda...
Moja ya tasnia kubwa duniani ni fashion, kazi ambayo inaweza kuwa career ya kijana kama akiwa na interest nayo. Kwa mujibu wa www.indeed.com fashion designer duniani wanaingiza wastani wa $6,000 (takribani milioni 14) kwa mwezi. Ukifanya tathmini kwa mazingira ya Tanzania, tasnia ya fashion ni...
Umewahi nunua chocolate ile unaipiga paap! inapukutika kama biscuits? Ujue umenunua bidhaa ambayo imekwisha muda wake. Kabla hujanunua bidhaa za kula ni vyema ukazingatia dondoo zifuatazo.
1. Jina halisi ya bidhaa
Vyema ukajiridhisha bidhaa unayonunua jina lake halisi ni lipi kwani sokoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.