Recent content by melusine8

  1. melusine8

    Waganga wa jadi 10 wapelekwa Kigoma kupambana na Wachawi, DC aweka ngumu

    Mwenye Enzi Mungu tunaomba hekima na busara zako zishuke kwa wana nchi wa Tanzania [emoji1241] yetu uwiiiii[emoji24][emoji24][emoji24]
  2. melusine8

    Bandari ya Dar es Salaam yaipita Bandari ya Mombasa kwa Ufanisi, Kulingana na Benki ya Dunia

    Hayo ni mambo ya zamani sana na yamesha pitwa na wakati! Kenya imeharibika vibaya sana kwenye kila sector, sio tena ile kenya ya kina Kibaki na Moi!
  3. melusine8

    Bandari ya Dar es Salaam yaipita Bandari ya Mombasa kwa Ufanisi, Kulingana na Benki ya Dunia

    Bandari ya Dar es Salam umeshawi kufika? Tuanzie hapo!
  4. melusine8

    Bandari ya Dar es Salaam yaipita Bandari ya Mombasa kwa Ufanisi, Kulingana na Benki ya Dunia

    Acha uwongo kijana. Sasa waseme hivyo ili wapate faida gani? Common sense is not common!
  5. melusine8

    Nani aliwachagua kuwa viongozi wa dunia? G7 ni viongozi wa nchi 7 tu si zaidi ya hapo

    Na ushoga pia wanatuletea ili watu wapungue duniani Na hakuna ruhuhusa ya nchi kama Tanzania [emoji1241] na wenzake ambao maleria ni number one killer nchini, haturuhusiwi dawa ya kupuliza juu kwa ndege ili kumaliza na kutokomeza kabisa ugonjwa huo! Bali tuna ambiwa tununue dawa ambazo zina...
  6. melusine8

    Hii ndio picha bora ya wiki nchini Tanzania, imepigwa Kigoma

    Hapana, hii ndio picha ya mwezi!
  7. melusine8

    Lissu ametengwa? Tazama kinachoendelea

    Jeuri ya pesa
Back
Top Bottom