Recent content by melisafilbert

  1. M

    Wanaume wanapenda wanawake wachapa kazi, but ikizidi ni kero...

    Nimeipenda sana hii maana wengine tunashughulikaga tunasahau hata kuoga kabisa mtu anarudi hata kumpokea unashindwa uko tu busy na zaidi wale wanaoenda kazini weekend ndio muda pekee wa kuhakikisha kila kitu kinakaa sawa
  2. M

    inakuwaje mwanaume anapatwa na hili

    Zipuwawa na watu8 basi msijali nashukuru kuniita mtoto ndo tunajifunza humu humu lkn mimi najua kama mtu hupendi topic ya mtu unaiacha sio lazima uchangie watachangia wale wanaoona inafaa, toka niingie humu nimeona watu wapo huru kuuliza lolote au kuomba ushauri kwa lolote lile ambalo wamekuwa...
  3. M

    inakuwaje mwanaume anapatwa na hili

    mimi nategemea labda inamtokea mtu aliye single au ambaye hajado siku nyingii sana kumbe hata wanaodo
  4. M

    Sikubali

    hii sikubari hii huyu ana R kwenye L au ana L kwenye R?
  5. M

    inakuwaje mwanaume anapatwa na hili

    mshana jr Re: inakuwaje mwanaume anapatwa na hili Huyo atakuwa fisimaji...! Fisimaji?
  6. M

    inakuwaje mwanaume anapatwa na hili

    comp yangu hainiruhusu kureply kwa mtu mmoja mmoja labda ni copy na kupaste hata kufungua thread inanibidi nifanye kama vile nareply to topic otherwise haifunguki nitasolve soon sijaelewa tatizo nini
  7. M

    inakuwaje mwanaume anapatwa na hili

    Godfrey Jackson ushauri wako utafanyiwa kazi punde
  8. M

    inakuwaje mwanaume anapatwa na hili

    Watu8 mimi ni mtu mzima tu kwani vipi
  9. M

    inakuwaje mwanaume anapatwa na hili

    Hekimatele kama vile ulikua kwenye akili yangu ila bahati mbaya leo comp imenikatalia kureply moja kwa moja kwa mtoa mada
  10. M

    inakuwaje mwanaume anapatwa na hili

    We Zipuwawa una maana gani sioni connection na swali langu
  11. M

    inakuwaje mwanaume anapatwa na hili

    Labda wataalamu wanisaidie maana mi nilizani ni ugonjwa i see
  12. M

    inakuwaje mwanaume anapatwa na hili

    duh maana mtu unajiuliza hivi ni nini au uzalishaji uko juu sana au ndo simtoshelezei
  13. M

    Bibi muokota makopo

    habari za mchana wana jamii hili ni angalizo tu kwa wale wenye watoto kwanza watoto wasizoee kufungulia watu milango muwafundishe maana kuna watoto wengine wakisikia mtu kagonga wanakimbilia geti wanafungua pili jamani watoto wafundishwe kutokuongea na watu wasiowajua zaidi ya salamu kwa ajili...
  14. M

    Majina ya Wanawake wa JF

    mi sijasema kitu
Back
Top Bottom