Habari Mkuu Pole kwa yaliyokukuta.
Naomba kutoa maelezo kidogo ambayo yanaweza yakawa msaada kwako na kwa wengine:
Kwanza Mahindi yaliyoharibika kutafanya kuwa chakula cha nguruwe wako sio jambo zuri na kama nguruwe wako wangefanikiwa kula uwezekano wa kupata magonjwa yatokanayo na fangasi...
Mkuu kwanza pole kwa kupatwa na hali kama hiyo kwenye mifugo yako.
Mimi nitatoa maelezo kiasi ambayo yatakusaidia,
Kwanza Mbuzi,Kondoo na Ng'ombe ni baadhi ya Wanyama ambao tumbo Lao limegawanyika katika sehemu nne (Ruminants), kwa kawaida wanyama hawa hushambuliwa sana na magonjwa ambayo...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana na nina Stashahada ya Afya ya wanyama na Uzalishaji ( Diploma in Animal health and production).
Matamanio yangu mwaka 2020 ni kusoma kozi ya Wildlife tourism management pale MWEKA, naomba mwenye ujuzi na hii kozi au field ya utalii anijuze, atoe maoni au taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.