Hawana lolote wenye utashi hatudanganywi kamwe!
Mbeya city wameamka hawana mpango na ccm,kulijaa wafanya kazi na wanafunzi,wananchi wa kawaida walikuwa wachache sana!.
Katika hao wote wasanii wolper diamond JB na wengineo hawana utashi wa kufikiri na kupambanua mambo haina haja ya kutafsiri kama CCM imekubalika,tambua wanaharakat wenye mchango wa kimawazo ya ukombozi ndo iwe dira! Wao wanawaza mapenzi tu ukitaka jua hlo angalia kazi zao zina ujumbe gani kwa...
Pamoja sana,be free!1]Ninafurahi sana kujoin na the home of great thinkers maake ni mda sana nimejarbu kujiunga na jf lakn device yang ilishndwa! Naombeni ushirikiano wenu mzur ktk uanajamvi humu ndan;nawatakia wakat mwema pia!
Siasa ni mfumo wa utakaji nafasi ya kiutawala kwa tafsiri ya mataifa yasioyojali masilahi ya watu wake hasa kwa TANZANIA wamesahau uzalendo na kukumbuka matakwa yao kwanza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.