Ni hivo wanatayarsh ujio wa mungu wao ndio maana wanasambaza Iman mbili sad hv 1.Mungu hayupo na 2. Mungu na shetani Wana nguvu sawa ili wakati Antichrist akifika kundi la kwanza na la pili pamoja na freemason wote watakuwa upande wake
Wanahakikisha kusiwe na ufojaji Kuna mwalimu mmoja aliwahi kupangiwa kazi serikalini wakamuingiza data zake zinasoma ameajiriwa tyara na anapokea mshahara Kila mwezi .Ilibidi apeleke vyeti vikaangaliwe kama kweli ni yeye au anayelipwa mshahara ndiye mwenyewe
Hello!
Msaada jamani waliowahi kufanikiwa na hizi remote jobs Huwa wanatuambia njia zipi maana Huwa naapply cjawahi pata na nasikia Kuna watu wanapata tupeane Siri angalau tupate kupata kipato Cha ziada
Sio ukisikia mtu amesoma course fulan ukadhani Hana msingi wengine ni Hali tu ya maisha bro.Mfano hapa nimesoma PCB nkapat na credit nmeshindwa ada za course za science nmepelekwa certificate ya ialimu wa msingi huko.
Vipigo au kutokuwa na vipigo haisaidii peke yake kujenga maadili ya mtu inategemea na mambo mengi .Tabia njema ya mtoto anajifunza kutoka kwa wazazi na watu wanaomzunguka
Mtume hakuanzisha dini Ili apate support ya wayahudi kwanza sidhani kma mtu atataka support kwa kupinga dini ya mtu hata wewe hapo ni mfan suala la dini unazungumza mpaka maneno ya hovyo.Mtume hakuwa amesoma elimu yeyote kabla ya utume wake hakuwa ana knowledge ya uyahudi wa ukristo na alipokuwa...
Kuna watu wakiongea tu unajua hamna elimu.Ndio maana hata Quran inasema hawapo sawa wenye elimi na wasio na elimu.Lugha Soo dini ingawa Quran imeshushwa kwa kiarabu .Hao
Kuna watu wakiongea tu unajua hamna elimu.Ndio maana hata Quran inasema hawapo sawa wenye elimi na wasio na elimu.Lugha Soo dini ingawa Quran imeshushwa kwa kiarabu .Hao wazungumzaji wa kiarabu pia sio wote waislamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.