Recent content by Mega Flix

  1. Mega Flix

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia wakati wa kuanzisha biashara ya spea za magari madogo

    Tuendelee kuujazia huu uzi nyama nyama za kutosha. 1Oil,pump,Water pump,Chain kits-Kwa mfano oil pump moja inafunga injini zote hizi za 3l,2l5l. Unaongeza na oil pump za 3s/4s 1az/2az. Hapa kikubwa ni kuzielewa model za injini na mahitaji yake yote. 2.Acesorie na spea zingine za kujazia duka...
  2. Mega Flix

    JamiiForums Tanzania Nawasanua wasakatonge wenzangu wenye lengo la kumiliki bajaj, guta au pikipiki na pesa uliyonayo haitoshi kuingia shop

    Naombeni mkopo wa Toyota Hiace kuna binadamu wanateseka huko vijijini.
  3. Mega Flix

    JamiiForums Tanzania Biashara 10 zitakazofanya vizuri kwa mwaka 2025

    Biashara ya daladala,,Yaani awamu hii mtake msitake mtanitengenezea faida kubwa mno. Na hivi mmeshaanza vijitabia vya kusema Ist siyo gari ,,Crown ni mabati Karibuni tukutane stand.
  4. Mega Flix

    JamiiForums Tanzania Naenda Arusha kwa nabii GeorDavie

    spea zipi mpya au used?Body spare parts? Hivi hii biashara inahitaji milioni ngapi kuanza duka la kawaida lenye vitu basics
  5. Mega Flix

    JamiiForums Tanzania Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    Hebu nipe nozeli za hiace 2rz
  6. Mega Flix

    JamiiForums Tanzania Ulitumia jitihada, njia au mbinu zipi kupata ajira au kujiajiri?

    Fuatilia hizi nafasi,,Chagua Ufundi wa magari na umeme wa magari
  7. Mega Flix

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vijana wengi wanafanikiwa wakija Dar es Salaam kuliko mikoani?

    Hiyo 10m kwa muda gani?
  8. Mega Flix

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vijana wengi wanafanikiwa wakija Dar es Salaam kuliko mikoani?

    True na huu ndiyo ukweli,,Mfano mdogo Nipo mkoani na nina kigari cha abiria . Nimefanya tathmini nimekuja kugundua katika miezi 12 hii gari inafanya kazi miezi isiyozidi 6. Huku nilipo Kuanzia mwezi wa 11-3 ni miezi ambayo hakuna abiria kabisaa na mara nyingi gari inapaki home tu. Hii kitu...
  9. Mega Flix

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vijana wengi wanafanikiwa wakija Dar es Salaam kuliko mikoani?

    Hivi wananchi wa kimara kwa nini wanateseka sana aisee
  10. Mega Flix

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

    unasema nini wewe?
  11. Mega Flix

    JamiiForums Tanzania Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

    watu wasinunue bajaj si tutatembea kwa miguu
  12. Mega Flix

    JamiiForums Tanzania Nikiweka billioni 5 UTT Amis napata gawio bei gani?

    Twende zetu China tukavute Golden Dragon 4,,Zipige route ya Dodoma-Mwanza.
  13. Mega Flix

    JamiiForums Tanzania Sehemu hatari zaidi duniani kwa picha

    Hizo njia ndiyo sisi wachaga huzitumia tukiwa tunarudi nyumbani,,Kibosho kutoka Kb
Back
Top Bottom