Recent content by Meela

  1. M

    Sisi mashabiki wa Yanga tunasimama na Mangungu, TFF iingilie kati wanaotaka kumtoa, Mangungu mitano tena, Mangungu for Life

    Usidanganye kila mtu anajua hii kampeni ya kina MO kuonyesha kuwa yeye hahusiki na matokeo mabaya bali shutuma ziende kwa Mangung. Wewe wala sio shabiki wa Simba au Yanga bali shabiki wa MO
  2. M

    Mo Dewji ateua wajumbe wapya Bodi ya Simba SC

    Huyu MO ni kuwa anadharau klabu au ni mbumbumbu? Kwani kwenye board kulikuwa na nafasi za kujaza? Kama kawateua hao kawaengua akina nani? Iliwahi kusemwa huku kuwa Simba kumwalika MO kuwa mwekezaji waliingia CHOO CHA KIKE
  3. M

    Maswali ambayo Pascal Mayalla amemuuliza Tundu Lissu, nimeona ni muda sahihi Pascal ku-step down.!

    Maya Mayalla ana akili sana. Ni kwamba anasapoti sana movement ya Lissu. Ndio maana Pascal Mayala akamuliza Tundu Lissu maswali mepesi sana ambayo hata mwanasiasa mchanga angeyajibu kwa ufanisi mkubwa. Nia ya Pascal ni Lissu awe juu, mama abwagwe
  4. M

    Natamani sana andiko hili la hukumu ya Afande Bageni lisomwe vituo vya Polisi na Makazi yao kwenye Paredi

    NImesikia kweli huyu muuaji namba moja yuko Morogoro Mkambarani. Ila nasikia hali yake ni kama zezeta fulani hivi. Afadhali angefungwa jela angekuwa anajitambua ila hapo alipo sasa mmmmmmmm
  5. M

    Sikuhi kuwaza kubwa Elick Kabendela ni mjinga kiasi hiki

    Magufuli alikuwa muuaji kwene hisia za watu walioaminishwa na mafisadi ambao hawakupumua kwenye utawala madhubuti
  6. M

    Sikuhi kuwaza kubwa Elick Kabendela ni mjinga kiasi hiki

    Hakuna uchunguzi wowote utakaobaini anachoongea huyu Juha Kabenfera
  7. M

    PreGE2025 ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa kwenye kitisho cha kifo

    Zanzibar ndio walianzisha hizi drama za kutekwa, bara wakaiga. Kumbuka mashehe wa uamsho walitekwana baadaye wakakutwa porini, Sasa kutekwa imekuwa dili bara. ACT wameona CDM wanafaidi sana na hizi drama za utekaji nao wameingia sasa
  8. M

    TANESCO: Sasa usambazaji wa umeme nchini kufanywa na sekta binafsi. Tayari Wawekezaji wameonesha nia ya kuwekeza TZS 3.3T kwa sharti la Ubia

    unaposikia upigaji kiulaini ndio hapa. Stigler's gorge inatoa umeme kibao sasa tunamtafuta mwekezaji asambaze huo umeme. Hapo wala sio 30% commission bali ni 60%
  9. M

    Michael Clifford ana uwezekano wa kuweka wazi majina ya wahusika wote ambao alifanya nao online conference ya kumpiga risasi Lissu

    Hii kesi imekaa kimchongo. Huyu mtu alifukuzwa kazi lini na kesi ijulikane leo? Halafu kesi ya ajira nchini Tanzania ikasikilizwe nchi nyingine???
  10. M

    Rais Jakaya , Atabaki Kama Baba demokrasia nchini, sijaona wa kuvunja rekodi yake hapa karibuni

    Hivi unakumbuka kuwa bomu lilipuka Arusha kwenye mkutano wa CHADEMA wakati wa utawala wa Kikwete?
  11. M

    Dkt. Emmanuel Nchimbi, Mnyika na Tundu Lissu wapandishwa madhabahuni na Padri Dkt. Charles Kitima

    nilidhani kongamano linawahusu Wakatoliki. Mbona baadhi ya walioitwa mbele sio wakatoliki au ni usanii?
  12. M

    Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

    Haina shakauko sahihi kusema hiyo sheria ni batili. Lakini sheria hiyo inapokuwa haramu mambo mengi sana yaliyomo kwenye hiyo shera naayo itaabidi yawe batili pia. Kwa mfano sheria hiyo ndiyo inayoanzishe National Audit Office. Je hiyo ofisi ni baatili? ia hiyo sheria ilianzisha cheo cha Naibu...
  13. M

    Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

    hicho unachoongelea hakipo ktk Public Audit Act 2008
  14. M

    Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

    Wewe unaongelea kilichopo kwenye katiba. Public Audit Act ilishafuta hicho kipengele
  15. M

    Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

    Huyu mzee ancheza n vichwa vya watu, anadhani kuwa kila mtu ni mjinga, Yeye aliewa ajira ya mkataba wa miaka 5 na uwezekano wa kupewa mkataba mwingine. Mkataaba mwingune ilikuwa ni uwezekano na wala sio lazima. Sasa mkataba wa kwanza unaisha yeye anadanganywa na watu fulani kuwa mkataba mwingine...
Back
Top Bottom