ahahahhahhhahhahhaha huyu ni mtu wa nyeto sana afu utakua unahangalia porno sana,xo kila ukigusana na demu unajikuta unamidadi ya kipornoporno tu.Jitulize punguza Punyeto na picha chafu,,,,,,,,,,,,,,...............,,,,,,,,,,,
yap,mkubwa upo sahihi sana.Muda unaenda mambo yanabadilika sana kama umemalza miaka miwili iliyopita na sasa mambo tofauti sana ata ukiitwa kwenye interview utajigundua upo nyuma kdogo.La muhimu ata kama hujafanikiwa kupata kazi bado hakikisha unajiongeza taratibu kama ni cpa,cpb,masters na nk...
Hawa jama wa Barclays sijawaelewa kama unapass interview mwezi february,then machi wanakupressure upeleke doc kwaajili ya screening then april wanakuita kwa ajili ya kwenda kuchukua fingerprints afu wanakukaushia mpaka now sijaelewa mchakato wao kama wapo makini kwenye hili.
Wadau kama kuna mtu...
ahahahahahahahahahaha mi siku ya kwanza nlipiga game nusura demu akimbie kama nimetoka jela jana.nlikua na uzoefu kupitia kuangalia sana porno...........!!
Kuwa positive zaidi,amini utapata nzuri zaidi ya hiyo uliyojihakikishia mwanzo.Kila kitu kina sababu na unachotaka ndicho unachopata niamini mimi......coz unataka maisha mazuri sio lazima uhamiaji kaka pambana utapata tu
Mambo vipi wana JF, nahitaji ushauri wenu kwenye hili.
Ni mwaka sasa umepita toka nianze mahusiano na huyu msichana. Wakati tunaanza mahusiano alikua akiishi hostel za chuo chao but after miezi mitatu akaniambia anahamia kwake kwani mama yake kamkubalia kumpangishia nyumba.
Baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.