Daah, Uzi ni wa muda mrefu lakini umenigusa... Mwenye kujua dawa ya hizo sauti za masikioni tujulishane wakuu..
Tafadhari
0628835615
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari jamaa, wenye hili Tatizo la sikio kutoa miungurumo au sauti vipi umepona.
Kama kuna mtu amepona tujuzane Ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app
LICHADI, Samahani mkuu najua hii post ni ya muda kidogo ila Mimi kwenye Hii forum ni mgeni.. baada ya kusoma naona imenigusa naomba kujua tu baada ya wewe kuwa unatumia hiyo baking powder kuna effect gani ambazo zilikua zinaonyesha kuwa dawa inafanya kazi, labda kwa siku ya kwanza na ya pili
Habari wakuu, Mimi mgeni kwenye hii forum, ila ningependa kupata dondoo kadhaa kuhusiana na magonjwa mbalimbali na afya kwa ujumla.
Ningependa kuanza kupata ufahamu kuhusiana na ugonjwa wa homa ya in.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.