Recent content by medy45

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna sheria yoyote inayosema mtu aliyesababishiwa ajali asilipwe kama chombo chake hakina bima?

    Nina ndugu alipata ajali na kupata ulemavu wa kudumu na hiyo ajali alisababishiwa kwani dereva alihama upande wake na kumfata. Sasa chombo chake hakikuwa na bima na alienda kudai fidia yake kwani hicho chombo kilisababisha ajali kilikatiwa third party na yeye alienda kudai fidia ya kwake kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mkopo

    Basi nikopee mie
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mkopo

    29
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mkopo

    Sijafanikiwa kupata kwakuwa sina connection ya watu kama hao wa mikopo ndomana unaona mpaka leo natafuta watu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mkopo

    Asante
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mkopo

    Natafuta mtu anaetoa mikopo..nina shida na mkopo wa laki tano nipo tayari kulipa riba 30% Tutaandikishana na utakuja mpaka napoishi kwenye makazi yangu. 0692407964..nipo tayari hata leo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata mkopo usio na RIBA ndani ya Tanzania hii?

    Naitaji mkopo mimi kama bado unakopesha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wireless ear buds

    Nimebakiza pc 15 nauza zote kama kuna mtu anaitaji tunaelewana bei Moja ni 30,000 ukitaka zote tunaongea nakupunguzia 0692407964
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada ninaweza kusoma course gani kwa ufaulu huu

    Ngazi ya cheti au
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada ninaweza kusoma course gani kwa ufaulu huu

    Je hapo unaanzia level gani
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada ninaweza kusoma course gani kwa ufaulu huu

    Poa mkuu asante kwa ushauri wako
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada ninaweza kusoma course gani kwa ufaulu huu

    Unaushauri gani hapo ndg
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada ninaweza kusoma course gani kwa ufaulu huu

    Hahahhaha
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada ninaweza kusoma course gani kwa ufaulu huu

    Habari zenu wakubwa nilikuwa naitaji ushauri juu ya course huu ndo ufaulu wangu form four Math D English D Kiswahili D Civics D Geography D hostory D Physics D Biology C Chemistry sikufanya kutokana sababu zilizo nje ya uwezo wangu nilikuwa natka kujua kwa ufaulu wangu huo je naweza...
Back
Top Bottom