Recent content by Medical Dictionary

  1. Medical Dictionary

    MSAADA: Utaratibu wa kisheria wa kulipwa fidia na Bima unapopata ajali kama abiria kwenye chombo cha usafiri.

    Asante sana mkuu, hapo kwenye mamlaka na majukumu ya Ombudsman; Je ikiwa mlalamikaji anadai zaidi ya kiasi hicho cha milioni kumi na tano, chombo gani kinapaswa kuwa msuluhishi hapo?
  2. Medical Dictionary

    MSAADA: Utaratibu wa kisheria wa kulipwa fidia na Bima unapopata ajali kama abiria kwenye chombo cha usafiri.

    Habari wanajukwaa, Naomba kujua utaratibu wa kufuata kuclaim fidia unapopata ajali kama abiria katika chombo cha usafiri. Ajali hiyo imemgarimu sana ndugu yangu matibabu na pia imempelekea kupata ulemavu wa kudumu. Je ni utaratibu gani afuate ili aweze kulipwa fidia? Natanguliza shukrani.
  3. Medical Dictionary

    Bima ya afya ya vyombo vya moto

    Alafu pia magari almost kila baada ya miezi miwili yanahitaji service, hiyo ni mandatory iwe nzima au mbovu. tofauti na mwili wa binadamu. kwahyo hapo bima lazima zile hasara. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Medical Dictionary

    Bima ya afya ya vyombo vya moto

    Habari wanaJF, Kuna wazo limenijia baada ya kupeleka gari yangu garage. Kama ilivyo tunavyotibiwa miili yetu katika hospitali kwa kutumia bima ya afya, ifike mahali sasa kuwe na bima ya afya ya magari na vyombo vingine vya moto na kama ilivyo kuna bima ya vyombo vya moto vinapopata ajali basi...
  5. Medical Dictionary

    Ninunue gari gani kati ya Prado SX vs Hilux Surf

    Nashukuru mkuu, kwa haraka haraka naona prado imeshinda.
  6. Medical Dictionary

    Ninunue gari gani kati ya Prado SX vs Hilux Surf

    Nashkuru sana mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Medical Dictionary

    Ninunue gari gani kati ya Prado SX vs Hilux Surf

    Nimewaza gari hizo kutokana na mazingira niliyopo. Nadrive offroad 20km daily. Naona hizo mbili ndio zitastahimili. Nimewaza pia Subaru forester new model, lakini baada ya miaka 2 naona itakua imekongoroka. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Medical Dictionary

    Ninunue gari gani kati ya Prado SX vs Hilux Surf

    Habari wana JF. Nina mpango wa kununua gari miezi ijayo mwaka huu. Ninaishi na kufanya kazi offroad. Hivyo nimefikiria kati ya machaguo mawili. Prado SX na Hilux Surf. Je nichukue ipi? Nipo open kwa machaguo mengine pia. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Medical Dictionary

    SOLD: Prado sx 3.0 turbo (1996) for sale

    Gari nzuri sana , natafuta kama hii mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Medical Dictionary

    TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

    Hilo la unicef labda itakua ni chanjo zimewasili,maana huku mahospitalini hamna chanjo kabisa.
  11. Medical Dictionary

    Nahitaji furnitures za salon(barbershop)

    Nahitaji viti vya kunyolea,kiti kimoja cha kuoshea na basin lake. Ningependelea ningepata used sabab budget yangu sio kubwa sana kuweza kuafford vipya. Nicheki 0767525054
  12. Medical Dictionary

    saloon ya kiume inauzwa

    Kila kitu kipo ndio
  13. Medical Dictionary

    saloon ya kiume inauzwa

    Saloon ya kiume yenye kila kitu ndani na ipo location nzuri ina good customer base ...ipo soweto moshi Bei:1.2M Mawasiliano: 0767525054
Back
Top Bottom