Huo sio ubaguzi ni utaratibu tu wa kawaida, mtu wa degree ya Socialogy ilipwe sawa na MEDICINE? hata serkalini tofauti ipo mzee na hata kuzipata kwake hustle zinatofautiana, huyu miaka 3 yule miaka 5 plus mmoja wa Internship..
kuna tofauti kwanzia uraiani mpaka kwenye hivi vyombo hilo liko wazi...
wizara ya mambo ya ndani imebaki mikeka miwili ya usaili, FIRE pamoja na PRISONS, ila kwa wale waioomba MAKAO MAKUU tu, ambapo wanaitwa before december
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.