Mmmh wapi wamesema hvyo embu soma tangazo vizuriHii form ni ya kujaza unasubmit tena kwenye portal yao
Mmmh wapi wamesema hvyo embu soma tangazo vizuriHii form ni ya kujaza unasubmit tena kwenye portal yao
Habari mkuu! Mimi nahitaji plz nipo Morogoro.Haha bure sio hela,kama upo dodoma tunategeneza group tunadiscuss nina tests nyingi
Hapana, unaenda nayo una submit tarehe 8,usipoenda nayo unakua umejitoa kwenye usahili mwenyeweHii form ni ya kujaza unasubmit tena kwenye portal yao
Hapana, unaenda nayo una submit tarehe 8,usipoenda nayo unakua umejitoa kwenye usahili mwenyewe
Noma yaan mkuuKwenda dom kurudi mara gharama za kula kulala kama 100k plus ivi daaaa, afu 200 out of 12000+ ,yan daa ukakasi
😀babu hewa ua hukos nenoWajukuu Leo mioyo imekuwa mweupe peee!!!, tugange yajayo Sasa Nini kinakwenda kufanyika Dom? Je Kuna madesa? Je Kuna maswali gani yataulizwa? Jibu bado kiza
Brother sio wote,mm kuna mtu namjua hajaitwa,labda tuseme wengi wa humu tumeitwaInavyoonesha wote tulioomba tumefanikiwa kuitwa katika usaili.
Ni jambo la kushkuru kwa hatua hii
Kaka haujafanikiwa tu kucreat iyo link ndugu?ngoja nicreate mkuu
Bora wewe 100k, wengine imeshagonga 150k harakaharaka tena Kwa kujibana sanaKwenda dom kurudi mara gharama za kula kulala kama 100k plus ivi daaaa, afu 200 out of 12000+ ,yan daa ukakasi
Gharama hiyo kutokea dar mkuu?Bora wewe 100k, wengine imeshagonga 150k harakaharaka tena Kwa kujibana sana
Mkuu naomba link
Kaka haujafanikiwa tu kucreat iyo link ndugu?
Usitusahau bana
Nahuli na maradhi vitapunguza robo yawatu kwenda.Kwenda dom kurudi mara gharama za kula kulala kama 100k plus ivi daaaa, afu 200 out of 12000+ ,yan daa ukakasi