Recent content by meck bashingwa

  1. M

    Siwaelewi HESLB na TCU mwaka huu wa masomo 2014/2015

    hao waliopata tena ni wachache sasa wengi wanalalamika
  2. M

    Siwaelewi HESLB na TCU mwaka huu wa masomo 2014/2015

    mwaka huu tcu wametoa selection kihuni waliodahiliwa kujiunga na elimu ya juu majina yao yametangazwa na vyuo walivyochaguliwa na huku wengi wakibaki na sintofahamu kwa kutoona majina yao. Hapo hapo HESLB wameanza kijimchezo kama hicho hicho kuona mikopo kwene vyuo husika hebu waache uhuni kama...
  3. M

    Wale wa SUA mkopo huu hapa

    inamaana unataka kusema yametoka kwa chuo kimoja tu mmmmmmmmmmh
  4. M

    Nimeacha kudharau wanaosoma vyuo tofauti na UDSM

    waambie maana kuna watu wana imani za mkumbo eti kisa kasoma udsm anaona kamaliza kila kitu wakati watu wanalia na degree hizo za udsm
  5. M

    Chuo Kikuu Dodoma, waliodahiliwa shahada ya kwanza 2014/15

    msaada jamani kwa aliefungua MARTHA MUSA
  6. M

    Chuo Kikuu Dodoma, waliodahiliwa shahada ya kwanza 2014/15

    jaman mbona mimi nadownload nisome majina hayo inagoma? nisaidieni #martha musa
  7. M

    Matumizi sahihi ya 'android smartphone' yako

    hizi smart za boom bwana sasa hivi hapo juu maelekezo yametoka au ndo BRN hawa
  8. M

    Vitambulisho vya taifa

    unajua mambo mengine bwana jamaa anaswali zuri na lenye mantiki lakini habari za mitaa ya marekani na kiingereza yametoka wapi? wewe mitaa unaijua kwene miziki ya huko sasa kuna watu wameishi huko na wanajua lugha vizuri na hawasemi, na kama unafikiria wanaoenda marekani wanaenda ongea unalo...
  9. M

    Maandamano na mgomo wa CHADEMA watikisa ofisi za Mkuu wa mkoa Ilala

    kuweni na akili hapo sijasikia mnyika,mbowe,halima mdee,tundu lisu,sugu badala yake naona maskini wanaohatalisha familia zao
  10. M

    king'amuzi startimes/azam tv natafuta used

    kama unachoking'amuzi cha startimes au azam tv kilichotumika nitext 0655636903 na kiwe kinafanya kazi na detail zote sahihi
  11. M

    Selection Jordan university college

    ingia hapa------ http://www.juco.ac.tz/index.php/academic- programmes/admission-requirements/general- information
  12. M

    Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    jordan university(juco) na wao wametoa jana
  13. M

    Selection Jordan university college

    majina yapo angalie kwene web hiyo
Back
Top Bottom