Recent content by Me97

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni kuuliza .mbona kama bus za kwenda south Africa au Malawi hakuna

    K kuna basi la kampuni ya Classic Dar to Johannesburg
  2. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Baada ya kifo cha mimi(kama sio ndoto lakini) hii story inanipa sintofahamu kubwa sana hata sijui itakuajee.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Pole sana ndugu Elton watu wa hivyo hawakosekani Dunia hii ya leo tamaa zimetujaa wewe unapost bure mwingine anaibeba na kwenda kujipatia ujira pasipo na kuumiza kichwa,ahsante kwa sehemu hizi ulizotupatia nimejifunza mengi kupitia riwaya hii nimejuta nimekuwa mpya na ninaweza kupenda tena bila...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Msegemnege

    Natumaini siku ukirudi hapa itakuwa Mpaka mwisho wa simulizi.......kila la kheri huko ulipo na yote uyafanyayo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Msegemnege

    Heri ya mwaka mpya 2025 Mzee JBourne59
  6. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Happy New Year 2025 bwana Elton Tonny
  7. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Msegemnege

    Nimeisubiria Sana hii riwaya na najiona Bado sijakata tamaa kuendelea kuisubiri🤔
  8. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    🤔
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mabasi mawili yagongana Mbeya uso kwa uso leo October 7

    Kaprikoni hufanya safari zake kati ya mkoa wa Mbeya na Arusha wakati Premier line safari zake huwa kati ya Mbeya/Tunduma na Mwanza.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wote mliopata majanga kwenye ajali ya mabasi ya Premier na Kapricon

    Zile kamba ni za tahadhari kuonyesha ukubwa wa hatari uliopo.....kwa jinsi walivyochimba ukienda pembeni kule imesha.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wote mliopata majanga kwenye ajali ya mabasi ya Premier na Kapricon

    TAARIFA haijakamilika mkuu imetokea maeneo Gani? Kwa ninavyofahamu Kaprikoni inafanya safari za kutoka Mbeya kwenda Arusha na hiyo Premier inasafiri toka Mbeya kwenda MWANZA.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Unapokuwa umeitunza siri kubwa maishani na inakutafuna ndani ya moyo wako.....jitahidi kufanya suluhisho mapema ZAIDI Bi. Jamila mara baada ya kuiona Ile picha ya familia ya JC alitakiwa kujua kwamba Dua na Sara zimrkubaliwa ili apate nafasi yakuomba msamaha too bad akaamua kuendelea Kuwa kimya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Hii Episode nimeisoma nikajikuta nimemaliza lakini natamani kama iendelee tu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    Nani kasema Mimi na Mimi ni ndugu?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

Back
Top Bottom