Recent content by me and I

  1. me and I

    JamiiForums Tanzania Nimempiga mpenzi wangu, roho iliniuma

    Yaan wanaume bhana ,yaan we umeenda kumcheat hafu katoka tu na marafik zake unampiga??
  2. me and I

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

    Mimi mume wangu ananiitaga baby mbele ya yeyote yule ,awe ndugu yake au yangu
  3. me and I

    JamiiForums Tanzania Huyu kanichosha

    Sasa uliamua nn mkuu maana naona uzi wa kitambo huu..ila penye miti hapana wajenzi
  4. me and I

    JamiiForums Tanzania New couple in town

    Jaman warumi amefariki lini??
  5. me and I

    JamiiForums Tanzania Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi

    Umemaliza Mkuu mwenye maskio na asikie
  6. me and I

    JamiiForums Tanzania Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi

    Sasa hao wenzio Yesu hawamtaki ndo maana wanaona ni kiwaida
  7. me and I

    JamiiForums Tanzania Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi

    Sasa nikwambie kitu Kama umeoa na mna watoto basi mkeo anakuvumilia kwasababu ya watoto nothing more
  8. me and I

    JamiiForums Tanzania Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi

    Kwahiyo Kila mwanaume mzinifu kalogwa??
  9. me and I

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki tuseme ukweli

    [emoji23][emoji23]
  10. me and I

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki tuseme ukweli

    Hujapenda mkuu hiyo ndo point kuu
  11. me and I

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki tuseme ukweli

    Wewe huyo humpendi na sio chaguo lako lkn Kuna wenzio wanaenjoy na wake zao Kama wameoa Jana kumbe miaka 20+ iliopita
  12. me and I

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki tuseme ukweli

    Picha za mitandaoni tu ndugu yangu hata simjui
  13. me and I

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki tuseme ukweli

    Hapana mkuu
  14. me and I

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki tuseme ukweli

    Ubarikiwe
  15. me and I

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki tuseme ukweli

    Kabisa
Back
Top Bottom