Yusuph Jr. achana na habariyamujini ni mzee wa Lumumba kwake maisha ni kupokea bk7 sisi tunaotoka noni yalila, yalagano, kibigiri, muntabidyede, uwanza na hata makunda nyumbani kwa Mwigulu twajua ari ya vijana juu ya Chadema na jinsi wasivyomkubali Mwigulu we subiri 2014 mwishoni ataziona hizo...