Recent content by Mdunguziii

  1. Mdunguziii

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Wewe ndo hamna kitu kabisaaaa Ngoyai Aliwapelekea maji kutoka Ziwa Victoria Watu wa Shinyanga akiwa waziri wa Maji. ---- wewe
  2. Mdunguziii

    Exclusive ya kilichotokea jana Mwanza katika ujio wa Lowassa

    Huuu mchakamchaka Ccm hawatauweza jamani kabisaaaa Ngoyai tukutane nae Magogoni mwezi was Kumi na Moja.
  3. Mdunguziii

    Ziara ya kimyakimya ya IGP Ernest Mangu kushawishi Askari kupigia kura CCM na kuzuiliwa kwa Msafara

    Mkuuu umenena sana tena askari ndo wamechoka na hizi propaganda Zack CCM Kama kuna taarifa juzi aliulizwa kwann Posho ya chakula kwa polisi haipandishwi ukilinganisha na jeshi la wananchi JWTZ lkn majibu yake akasema kama unaona jeshi wanapata hela nyingi basi nendeni jeshini tokeni huku Sasa...
  4. Mdunguziii

    Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

    Wewe kichaaa umekula maharage ya wapi wewe
  5. Mdunguziii

    Ana mtoto wangu lakini kampa mwanaume mwingine

    Wanajamvi,samahanini naombeni ushauri wenu. Nilikuwa na mpenzi wangu tumedumu miaka sasa lakini mwaka juzi alinipigia simu akiwa kwao Arusha akaniambia kuwa ana mimba na mimi nikahakikisha kweli ana mimba tena yangu maana kipindi natoka nae najua nilikuwa peke yangu. Sasa alikuja kwenda Dar...
  6. Mdunguziii

    Wanaume waliofanyiwa tohara na wamasai wanatumalizia wake zetu jamani

    Hahahahahahahaaaaaaa kama hamuwezi kuwakuna sasa
Back
Top Bottom