Ziara ya kimyakimya ya IGP Ernest Mangu kushawishi Askari kupigia kura CCM na kuzuiliwa kwa Msafara

Geofray Hassani

New Member
Aug 13, 2015
4
76
Ndugu wana jamvi Hizi ni habari za ukweli zisizo na maswali. Nimelazimika kufungua accunt Jamii foum tangu jana ila ilichelewa kupata verification.

Nimesikitishwa sana na Ziara ya Kimya Kimya ya IGP ERINETST MANGU Ya kutembelea mikoani na kushawishi Askari kupigia kur Chama Cha Mapinduzi CCM kwa madai kwamba ni chama kinachowapa mshahara . Nimelinganisha na matukio mbalimbali yakiwemo ya kuzuiamsafara wa Lowasa Maandamano Nikaona kwa Vyoyote Vile IGP Hatendi Haki tarehe12/08/2015 Akiwa SINGIDA na 13 Akiwa Kigoma Akizungumza na Askari Alisema " Pigieni kura Chama Kinacho wapa mshahara"

Kauli hii iliniuma alipotamka akiwa singida ikabidi nifuatilie ziara zake kwa kuuliza askari wezangu wa kigoma na mwanza ambao walisema hata wao walishangaa IGP Kupigia kampeni CCM.

Nimeamua Kufunga accunt Mpya kuwajuza wa Tanzania juuya ubakaji huu wa haki unaoendelea ndani ya jeshi. ili wachambuzi na wanaharakati wafuatilie na kupinga kwa nguvu udhalimu huu
 
Wakubwa Wa polisi wanatumika na ccm hawajiamini wanafikiri ukawa wakichukua nchi watafukuzwa hapana.igp Mangu wahurumie bc Askari wadogo wanaoishi kwenye vibanda,wakati wewe unatembea na gari la thamani ya tz sh 300000000/-milioni Mia tatu wao kwenye nyumba moja wanaishi 10,na nyie Askari zindukeni msiwe waoga,Kura ni Siri yako
 
Mimi ninaamini hata nyinyi askari mmechoka kudharauliwa na kuonekana eti mnathamani sana kipindi hiki cha uchaguzi. Vilevile ninaimani nyinyi siyo wajinga wa kupokea maelekezo yake. KURA siyo order kwamba inabidi utekeleze unachoambiwa na mkubwa, KURA ni siri na ni utashi wako binafsi kulingana na sera nzuri, ilani inayotekelezeka pamoja na kiongozi unayempenda wewe. Msikubali KUDANGANYIKA na kufanywa kuwa ni MAZEZETA kiasi hiki.
 
Mimi ninaamini hata nyinyi askari mmechoka kudharauliwa na kuonekana mnathamani sana kipindi hiki cha uchaguzi. Vilevile ninaimani nyinyi siyo wajinga wa kupokea maelekezo yake. KURA siyo order kwamba inabidi utekeleze unachoambiwa na mkubwa, KURA ni siri na ni utashi wako binafsi kulingana na sera nzui, ilani inayotekelezeka pamoja na kiongozi unayempenda wewe. Msikubali KUDANGANYIKA na kufanywa kuwa ni MAZEZETA kiasi huki.
tatizo amri kutoka juu za kuzuilia maandamano na misafara kwa nguvu ya kutosha
 
Jinsi Mkuu wa jeshi la polisi anavyopatikana Kenya:
Nafasi hutangazwa kwa watu kuomba kwenye vyombo vya habari

Watu wanaoamini wana sifa huomba na kutuma CV zao kwa tume maalumu ya utumishi wa umma

Waombaji huchambuliwa na kufanyiwa interview

Interview hufanyika kwa wazi...

Majina matatu ya walioongoza hupelekwa kwa raisi ili kuteuliwa

Raisi akitumia ushauri wa tume ya ajira pamoja na washauri wengine huteua jina moja

Mteuliwa hufanyiwa tena interview na kamati maalumu ya bunge

Mteuliwa hupigiwa kura na wabunge wote kumkubali au kumkataa

(utaratibu huu pia ulikuwa umependekezwa na wananchi kwenye rasimu ya Warioba)...

Kwa Tanzania:
Raisi hushauriana na mkewe na vibaraka wake wa usalama wa chama, kisha humteua mtu waliyeamua wao na huapishwa mara moja kuanza kazi

(Utaratibu huu ndio uliurudishwa na CCM kwenye katiba inayopendekezwa)...
 
Ndugu wana jamvi Hizi ni habari za ukweli zisizo na maswali. Nimelazimika kufungua accunt Jamii foum tangu jana ila ilichelewa kupata verification.

Nimesikitishwa sana na Ziara ya Kimya Kimya ya IGP ERINETST MANGU Ya kutembelea mikoani na kushawishi Askari kupigia kur Chama Cha Mapinduzi CCM kwa madai kwamba ni chama kinachowapa mshahara . Nimelinganisha na matukio mbalimbali yakiwemo ya kuzuiamsafara wa Lowasa Maandamano Nikaona kwa Vyoyote Vile IGP Hatendi Haki tarehe12/08/2015 Akiwa SINGIDA na 13 Akiwa Kigoma Akizungumza na Askari Alisema " Pigieni kura Chama Kinacho wapa mshahara"

Kauli hii iliniuma alipotamka akiwa singida ikabidi nifuatilie ziara zake kwa kuuliza askari wezangu wa kigoma na mwanza ambao walisema hata wao walishangaa IGP Kupigia kampeni CCM.

Nimeamua Kufunga accunt Mpya kuwajuza wa Tanzania juuya ubakaji huu wa haki unaoendelea ndani ya jeshi. ili wachambuzi na wanaharakati wafuatilie na kupinga kwa nguvu udhalimu huu

Za kuambiwa changanya na zako.Hata ikija Serikali ya PAKA bado mtalipwa stahiki zenu...........
 
Mkuuu umenena sana tena askari ndo wamechoka na hizi propaganda Zack CCM Kama kuna taarifa juzi aliulizwa kwann Posho ya chakula kwa polisi haipandishwi ukilinganisha na jeshi la wananchi JWTZ lkn majibu yake akasema kama unaona jeshi wanapata hela nyingi basi nendeni jeshini tokeni huku Sasa kama majibu yake ndo hayo Kweli kuna kiongozi na askari Asa ivi wengi wapo ukawa wala si uongo me nna Kaka yangu anafanya kazi na naishi nae kila siku analalamika tuuu mishahara mibovu Kweli Mwaka huuu Maccm Yana kazi Kweli ASKARI POLISI WENGI MIOYO YAO NA MATUMAINI YAO WAMEYAPELEKA WA NGOYAI LOWASA.
 
Jinsi Mkuu wa jeshi la polisi anavyopatikana Kenya:
Nafasi hutangazwa kwa watu kuomba kwenye vyombo vya habari

Watu wanaoamini wana sifa huomba na kutuma CV zao kwa tume maalumu ya utumishi wa umma

Waombaji huchambuliwa na kufanyiwa interview

Interview hufanyika kwa wazi...

Majina matatu ya walioongoza hupelekwa kwa raisi ili kuteuliwa

Raisi akitumia ushauri wa tume ya ajira pamoja na washauri wengine huteua jina moja

Mteuliwa hufanyiwa tena interview na kamati maalumu ya bunge

Mteuliwa hupigiwa kura na wabunge wote kumkubali au kumkataa

(utaratibu huu pia ulikuwa umependekezwa na wananchi kwenye rasimu ya Warioba)...

Kwa Tanzania:
Raisi hushauriana na mkewe na vibaraka wake wa usalama wa chama, kisha humteua mtu waliyeamua wao na huapishwa mara moja kuanza kazi

(Utaratibu huu ndio uliurudishwa na CCM kwenye katiba inayopendekezwa)...

Tuko,ninawasiwasi na dhamira halisi ya JK na washirika wake.Kama si kuleta vurugu wafaidike na vitalu vya mafuta na GAS sijui....

Nawaza tu kwa sauti:A S confused::A S confused::A S confused:
 
Ndugu wana jamvi Hizi ni habari za ukweli zisizo na maswali. Nimelazimika kufungua accunt Jamii foum tangu jana ila ilichelewa kupata verification.

Nimesikitishwa sana na Ziara ya Kimya Kimya ya IGP ERINETST MANGU Ya kutembelea mikoani na kushawishi Askari kupigia kur Chama Cha Mapinduzi CCM kwa madai kwamba ni chama kinachowapa mshahara . Nimelinganisha na matukio mbalimbali yakiwemo ya kuzuiamsafara wa Lowasa Maandamano Nikaona kwa Vyoyote Vile IGP Hatendi Haki tarehe12/08/2015 Akiwa SINGIDA na 13 Akiwa Kigoma Akizungumza na Askari Alisema " Pigieni kura Chama Kinacho wapa mshahara"

Kauli hii iliniuma alipotamka akiwa singida ikabidi nifuatilie ziara zake kwa kuuliza askari wezangu wa kigoma na mwanza ambao walisema hata wao walishangaa IGP Kupigia kampeni CCM.

Nimeamua Kufunga accunt Mpya kuwajuza wa Tanzania juuya ubakaji huu wa haki unaoendelea ndani ya jeshi. ili wachambuzi na wanaharakati wafuatilie na kupinga kwa nguvu udhalimu huu

Mkuu mbona simple sana? Hata ahamasishe wewe si utapiga kura upendapo? Ikiwezekana aje ashangazwe na matokeo ya vituoni mwake. Polisi mjinga tu, atapiga kura kwa chama fulani kwa kufuata sababu weak kama hizo.
 
Ukawa Ushindi Asubuhi Oktoba 25
Askari Zindukeni Huyo Igp Mambo Yatamwendea Kombo Punde Kuibeba Ccm
 
Ndugu wana jamvi Hizi ni habari za ukweli zisizo na maswali. Nimelazimika kufungua accunt Jamii foum tangu jana ila ilichelewa kupata verification.

Nimesikitishwa sana na Ziara ya Kimya Kimya ya IGP ERINETST MANGU Ya kutembelea mikoani na kushawishi Askari kupigia kur Chama Cha Mapinduzi CCM kwa madai kwamba ni chama kinachowapa mshahara . Nimelinganisha na matukio mbalimbali yakiwemo ya kuzuiamsafara wa Lowasa Maandamano Nikaona kwa Vyoyote Vile IGP Hatendi Haki tarehe12/08/2015 Akiwa SINGIDA na 13 Akiwa Kigoma Akizungumza na Askari Alisema " Pigieni kura Chama Kinacho wapa mshahara"

Kauli hii iliniuma alipotamka akiwa singida ikabidi nifuatilie ziara zake kwa kuuliza askari wezangu wa kigoma na mwanza ambao walisema hata wao walishangaa IGP Kupigia kampeni CCM.

Nimeamua Kufunga accunt Mpya kuwajuza wa Tanzania juuya ubakaji huu wa haki unaoendelea ndani ya jeshi. ili wachambuzi na wanaharakati wafuatilie na kupinga kwa nguvu udhalimu huu

Msiwe na uoga mkuu, hizo ni dalili za anguko kuu la CCM. Tafadhali hamasisha wenzako na waeleze mazuri yatakayofanywa na UKAWA ikiwa ni pamoja na kulipa wafanyakazi wote posho zao na madai yote wanayodai.

Ukitaka kujua wanashindwa msikilize cowbow Magufuli juzi anaahidi kuwanunulia walimu laptop akichaguliwa. Ivi laptop ni kiasi gani na hao walimu wakilipwa madai yao si wanaweza kujinunulia wenyewe ma-laptop, ma-ipad n.k

Tafadhali unganeni na hamasishaneni mtunze vichinjio vyenu, CCM hailipi mtu salary. KODI YA WANANCHI NDO INAYOLIPA WATU MISHAHARA.

Lichama gani hilo limetwala miaka hamsini bado hali ngumu. Kagame amechukua nchi juzi 94, sasa RWANDA ni PARADISE.

UKAWA MBELE KWA MBELE. KAMANDA EL RAISI AJAYE.
 
tatizo amri kutoka juu za kuzuilia maandamano na misafara kwa nguvu ya kutosha

Usitishike na hilo wala usibiashane na wakuu wako wa kazi,ukiamriwa kuibigia CCM sema sawa afande,amri yao ya kutaka uipigie CCM ikatae kwenye sanduku la kura kwa kupigia wapinzani.

Ukiamriwa kupiga mabomu wapinzani piga mabomu kuelekea vichakani wakati mwingine pindisha mkono kuelekea kwa wakubwa zako ili na wao waipate fresh kama wanavyo wafanya wapinzani.
 
Back
Top Bottom