Recent content by mdundo ngoma sana

  1. mdundo ngoma sana

    JamiiForums Tanzania Manchester city wataangamia vibaya mno leo

    Wazee wa come back leo watafanya kufuru pale etihad
  2. mdundo ngoma sana

    JamiiForums Tanzania Je! Ni Conte au Mourinho FA Cup?

    mourinho ni tactician ambaye anaamini kwenye ulinzi.amekuwa akizikomesha timu nyingi ambazo ni offensive
  3. mdundo ngoma sana

    JamiiForums Tanzania Madereva magari ya jeshi(JWTZ) ni janga kubwa mjini!!

    uzi wako invalid.raia tupo rafu sana kuliko wanajeshi
  4. mdundo ngoma sana

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wachezaji mastaa watakaokosa kushiriki Kombe la Dunia 2018

    Tshishimbi wa Yanga masikini wapanda ndege wafungwaji waliobobea
  5. mdundo ngoma sana

    JamiiForums Tanzania Mama Kanumba asikitishwa na kitendo cha Lulu kutolewa jela. Asema "Siku zote maskini hana haki"

    Nimekuwa nikisikitishwa na kauli zako mama Kanumba tangu msanii Lulu alipohukumiwa.mama yangu mama Kanumba,binadamu ni vyema tujifunze kusamehe.kufungwa kwa Lulu hakutokufaa chochote,kumbuka mwanao marehemu pia alikuwa na makosa ya kutembea na binti mdogo kinyume na maadili ya mtanzania.Hata...
  6. mdundo ngoma sana

    JamiiForums Tanzania Mama Kanumba asikitishwa na kitendo cha Lulu kutolewa jela. Asema "Siku zote maskini hana haki"

    mwanaye alikwisha kufa.mama kanumba jifunze kusamehe
  7. mdundo ngoma sana

    JamiiForums Tanzania SHAHIDI: Chusa alipanga mauaji ya Bilionea Msuya

    ahsante mwandishi tunajifunza kupitia andiko lako.God bless u
  8. mdundo ngoma sana

    JamiiForums Tanzania Mtwara; Hotel ambayo mwaka 1 uliopita ilikua lazima ufanye booking leo hii tupo wateja 3 tu

    mimi mwenyee nimepita juzi amini aseeee
  9. mdundo ngoma sana

    JamiiForums Tanzania Guardiola ameiumbua E.P.L

    na kipigo kala vizuri tu
  10. mdundo ngoma sana

    JamiiForums Tanzania Guardiola ameiumbua E.P.L

    alichofanya ni kawaida wenzake pia walifanya
  11. mdundo ngoma sana

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wanaume wenzangu mabaharia yaani wazamiaji

    Ndugu wanaume wenzangu, Siku hizi kuna magonjwa ya wanawake mengi ambayo yametishia kabisa uwepo wetu sisi wazamiaji haswa chumvini. Kwa maana kansa ya shingo ya kizazi ukiilowekea mdomo sidhani kama utatoka salama. Vilevile U.T.I imetishia kwa kiasi kikubwa utaalamu wetu kwa maana unaichukua...
  12. mdundo ngoma sana

    JamiiForums Tanzania Ruge atimiza miaka 49, happy birthday Mdau

    uzee sio laana,sote tunautafuta uzee,usiupende sana ujana haudumu
  13. mdundo ngoma sana

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo hatajiuzulu

    uliyeandika utakuwa padri
  14. mdundo ngoma sana

    JamiiForums Tanzania Diamond anaposema "bana choo" na "paka mate iteleze" unaelewa nini?

    haya maneno yanaishi hakika ipo siku ya mwisho na akhera
Back
Top Bottom