Kwa maana hiyo huwezi msifia Mkapa kwamba alifanya vizuri miaka kumi si ndiyo?kwa huwezi yoa sifa kwa rais na kumuacha mtendaji wake mkuu kwa miaka 10..kama mnakosa thread siyo lazima upost ,unajishushia heshima.."lofa wewe na pumbavu"in Mkapa tune
Mtasubili sana,najua thread imetoka kwa vijana wa Membe kutaka kuaminisha watu uwongo..mbona yake ya libya kaikwepa?marekani hawajawai kuwa na tatizo na EL na pia nchi za wenzetu chombo chenye mamlaka ya kufanya uchunguzi kikishatoa majibu hiyo sual siyo issue tena
Tatizo watanzania mnaongea...
Gharama za kurusha matangazo tu ITV live ni zaidi ya 120m,startv humo humo pia,unaposema hujatoa hela popote na wewe ni maskini hizo umetoa wapi,mshahara wa waziri hauzidi 5m...tumechoka kudanganywa na cheap politics za kuwadanganya watanzania eti nyinyi ni maskini npo kama wao wakati ni...
Membe kakutuma uleye uzi..usalama wake hawezi mfukia Apson kwani anazijua fitna nyingi zaidi yake...mjuze kuwa hata mipango yake ya kuwaleta mabalozi ns kuanza kutoa post kwa watumishi pale foreign tunaujua..na hizo bilion 3 alizoleta sasa alikuwa wapi miaka yote na kama utaratibu ni kila miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.