Recent content by mdogoye

  1. M

    Rwanda imekuwa Taifa la kwanza Africa kuzindua taxi ndege Jijini Kigali

    Usisaau tupo bado kwenye mfumo wa tone tone tunajitafuta talatibu!!!
  2. M

    Rwanda imekuwa Taifa la kwanza Africa kuzindua taxi ndege Jijini Kigali

    Umesaau na uzinduzi wa tone tone!!!!
  3. M

    Rwanda imekuwa Taifa la kwanza Africa kuzindua taxi ndege Jijini Kigali

    Kwaiyo kwa tonetone tutafikia uchumi wa kati💩💩
  4. M

    Kwa kelele hizi, itakua kweli houthi wameshusha kisago Israel

    Jamaaaa ilifika wkt nikawa namuonea uruma kipindi cha ile Vita ya siku 12😀😀😀 Jamaaa kapoaza kimyaaa kabisa kabla yake ilikuwa mbwembwe tambo kibaooo mwisho alipotea siku tatu hakuna Uzi. WAISRAEL sijui wamempa nini Echolimai😅😅
  5. M

    GE2025 Kilosa - Morogoro: Wana-CCM wadaiwa kupata ajali wakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa Samia Suluhu

    Hili gembe lao lina Mijitu inachuki sana. Japo wacheche sana lkn wanajidanganya na wanajiona ndio wengii Hatari kwa Usalama wa wananchi wema.
  6. M

    Polepole: Harakati za kampeni za rais Samia zinaratibiwa na Abdul badala ya CCM

    Yeye kinamuuma nini. CCM ipo kwenye kuomba kura mikutano yote Inaendelea vizuri nyomi sio poaaa pengine kakosa la kuchema mfano ingekuwa nyomi ndogo sana tungemsikia nakejeli zake kwasasa hawe mkakamavu kuvumilia shindano ya nyomi !! Wanaccm wapo kwenye jambo lao kusanyiko kubwaaa pande...
  7. M

    Yule Mgombea anayependwa zaidi Duniani kwa sasa Dkt. Samia Suluuhu Hassan Kutikisa Songwe

    Ka Kabisaa mkuu nchi imejawa na bahati ya Amani na Viongozi makini wenye kuitunza Amani yetu.
  8. M

    GE2025 Kilosa - Morogoro: Wana-CCM wadaiwa kupata ajali wakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa Samia Suluhu

    Japo picha ya zamani lkn twende ivyoivyo !!! Ajali popote zinotokea iwe kwenda kuzika, kwenye mpira, Safarini ,sooo tunashukulu hakuna wafu Mungu ni mwema kwa Wanaccm ajali kazini lkn October 28 tunatiki asubui asubui ✅️
  9. M

    GE2025 Kilosa - Morogoro: Wana-CCM wadaiwa kupata ajali wakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa Samia Suluhu

    Picha ya zaman sio mpya daaa watu wa propaganda wapokazini nchi ngumuu sana.
  10. M

    GE2025 Rais Samia amekumbwa na nini? Mbona anajivuruga kiasi hiki kwenye hotuba zake

    Mbona unadanganya watu kitoto sio CHADEMA ndio wameweka mpira kwapani?????? Nchi ngumu sana kuna watu kuelewa jambo dogo ni shidaaa CCM ndio mana imewaza kuwapigia kura shubamit!!!
  11. M

    Auawa kwa kumkufuru mtume Muhammad S.A.W

    Tunakuja taratibu,,, Kwako ww kuingiliwa mtoto wa kiume kwanzia miaka 3 kinyume na maumbile uyu ni mwanaume mzazi wake anategemea baadae awe baba pia wewe kiongoz wa Dini unamgeuza kinyume na maumbile Kiakili tukio ili ndio bayaa zaid tulitakiwq sisi ndio tulete mada ya kudhaliiza watoto...
  12. M

    Tafakari na picha

    Hii ni TZ au Kenya 🇰🇪???
Back
Top Bottom