Salamu Wakuu:
Nahitaji kujielimisha kuhusu gharama za kupiga plasta ile wanasema ni ya kisasa ikiwa ni mchanganyiko wa Cement + Sand + Gypsum. Hii wanasema ndio bora na inakusugua kwingi.
Tuchukulie kuwa jengo lina vyumba vya kulala vinne alafu na sebule. Pia ukuta umefika hadi meter tatu...
Mh Membe:
Ubabe, vitisho, na kauli za kukurupuka kama kawaida kutoka kwa Bw Membe!
Hivi Tanzania tukijitoa kwenye Jumuiya ya Madola ni nani au nchi zipi zitaumia? Tanzania kwa jinsi uchumi wake ulivyo mdogo, siasa zake za ufisadi, na rushwa iliokithiri, na misaada inayopewa kila kukicha...
Hii imekaaje?
Serikali ya Tanzania ndio iliozemebea mchakato wa mkataba wa rada na kufumbia macho hali ya wazi wazi ya kifisadi kuwepo miongoni mwa wahusika wake.
SFO ya UK ndio yenyewe ikaibua wasi wasi wa hali ya rushwa kuhusiana na ununuzi wa Rada na ikashauri, kupitia waziri wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.