Sisi kwetu kilombero kuna mbunge anaitwa Abdul mteketa a.k.a pedeshee yaani huyo ni zaidi ya mzigo, jimbo litachukuliwa na cdm na Tumaini letu ni kijana jembe Azizi Himbuka 2015.
Mheshimiwa Rais ametia sahihi Hati ya Dharura (Certificate of Emergency) kufanyika marekebisho kwa Muswada wa Fedha wa mwaka 2013 kuondoa tozo ya kodi kwa laini za simu (SimCard Tax).
SOURCE January Makamba
hapana!
700 milioni naanzia,hyo ni pamoja na mali zilizopo shamabni yaani nyumba,kisima cha maji na genereta la umeme pamoja na miembe ya kisasa,michungwa na minazi

Nauza shamba la ekari hamsini lipo visiga nusu kilomita kutoka barabara kuu,lina miembe ya biashara 300,michungwa na minazi!kuna nyumba kubwa ya kuishi na servant house!liko tambalale na oevu!
Kuna kisima cha pump na matank,Bei ya eneo ni maelewano!
Mawasiliano yangu ni 0787 191 844 naitwa Mdoe!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.