Recent content by mdochi20

  1. mdochi20

    JamiiForums Tanzania Mnapata wapi nguvu za kumfananisha mchezaji anayekiwasha michezo ya nje na ndani na huyo anayeonekana kwa Mkapa tu?

    Ninyi ndio wale wa kumlinganisha Bellingham vs modric 🤣🤣🤣
  2. mdochi20

    JamiiForums Tanzania Mnapata wapi nguvu za kumfananisha mchezaji anayekiwasha michezo ya nje na ndani na huyo anayeonekana kwa Mkapa tu?

    Umeanza kumuona chama mwaka gani? Nijibu ili nijue nakujibuje isijekuwa kipindi cha Burudani kwa wote
  3. mdochi20

    JamiiForums Tanzania Alex Ngereza: Simba ilikuwa kwenye kundi dhaifu sana

    Swali zuri sana, ngoja tuone jibu lake ajichanganye tumuungie
  4. mdochi20

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba alikejeli Bunge, ataka lijadili uganga wa kienyeji sio uchumi

    Anasema mambo ya uchumi aachiwe yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. mdochi20

    JamiiForums Tanzania Nani alithibitisha kuwa Mdee na wenzake wamegushi sahihi? Kughushi ni jinai walishawahi kufunguliwa jalada Polisi ili uchunguzi ufanyike?

    Hatua ya kwanza tu waliyoifanya hao chadema kuwafukuza ilikuwa best zaid issue inakuja reaction ya watawala baada ya kujulishwa kuwa hao wabunge hawastahili. Je unadhan polisi wangekuja na soln ipi? Kama maelekezo ni yale yale ya watawala.
  6. mdochi20

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Halima Mdee na wenzake walivyopewa wasaa wa kuomba msahama Baraza Kuu CHADEMA

    Hakuna mpinzani aliyepiganiwa na watawala legacy yake ikabaki wanapotea mazima.
Back
Top Bottom