Recent content by MdimuNgoda

  1. M

    GE2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

    Kwa wabunge wengi waliopo katika miji mkuu kama huu DAR ni ngumu sana kuweza kuona kazi aliyofanya Mbunge. Mfano kwa sisi wakazi wa ILala jimbo la Zungu huwezi kumpima Zungu kwa kazi alizofanya jimboni kwani hadi leo barabara za ndani maeneo ya Upanga na kwingineko hayana lami...na leo anaomba...
  2. M

    Trends, Visions: Watanzania msitatizwe na kauli zake kuhusu Katiba, baada ya Nyerere, ni Magufuli ndiye ataacha legacy kubwa ikiwemo Katiba Mpya!

    Kwa namna alivyosikika mkuu wa nchi kuhusu suala la kuwa na katiba mpya Kwa sasa neno "Kwa sasa" hana mpango nalo hii ikimaanisha nini. Huenda mpango wa kuwa na katiba mpya kupitia awamu yake huenda ukawepo hapo baadae. Dalili ya kuja kuwa na mchakato wa kuwa na katiba mpya utakuja siku za usoni...
  3. M

    Naibu Spika, Tulia Ackson aanza rasmi harakati Jimbo la Mbeya Mjini

    Tusidanganyane kwa nyakunyaku hizi zinazoendelea Mh. Sugu ajipange kisawa kisawa vinginevyo ataliona Jimbo kwenye TV.
  4. M

    Fredrick Sumaye: Hakuna hata chama kimoja na wala sikifahamu ambacho kimesema wewe si Rais wa JMT

    Aliyosema Mh. sumaye Ni sawa kabisa kwani hawajawahi kumpinga na kutomtambua JPM bali uhalali wa namna mchakato na namna matokeo yalipatikana. Hapo ndio pana ukakasi.....
  5. M

    Kama Rais ndio anatoa vibali kutibiwa nje ya nchi, ndani ya miezi 6 zimetumika bil 17.1 - wametibiwa kina nani?

    Hapo ndipo panapotutafuna kisawasawa haki ya mungu.... Hii terminology ya Uzalendo wallah inagharimu sana...
  6. M

    Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!

    Asante sana mkuu kwa hili angalizo. Na mm pia nakubaliana na wewe kabisa kwa Hili. Na ni vyema kwa Sasa wapinzani wakausoma huu Uzi kisha kujipanga kwa 2030.
  7. M

    Mbona siasa za Tanzania hazina adabu?

    Wote Ni katika kulinda Maslahi yake kwanza sio yako mwananchi. Mwanasiasa yoyote yupo kwa ajili yake tuu... So anachotazama Ni wapi upepo unaelekea na yy hufata huko....
  8. M

    DAR: Kampuni ya kukamata magari (Mwamkinga Auction Mart) yasimamishwa

    Okay sawa Kwa uamuzi huo. Kwani mkataba mlioingia na hao jamaa uliwataka kutoza kiasi gani cha pesa? Na kama hayo madai mliyoyabaini ni sawa licha ya kuwafutia mkataba ni hatua gani zaidi kama Manispaa mtazichukua?
  9. M

    KUMEKUCHA: Washereheshaji(MCs) na Wapiga picha kuanza kutozwa kodi

    Kuna hatari ya watu kuondoka na magoli yao mikononi
Back
Top Bottom