Recent content by mdimi mpina

  1. M

    Gari la mkopo laibiwa

    Kama Noah ilikuwa ya kutembelea basi chanzo cha marejesho bado anacho ila Kaman ilikuwa gari biashara kweli hilo ni tatizo
  2. M

    Mzee Mzindakaya Nusura akamatwe na TAKUKURU leo Asubuhi Sumbawanga Mjini

    Pinda atagombea urais wapi? Kama ni hapa tz mh!!!!!!
  3. M

    Nauza kiwanja Chanika

    Chanika ipi? Bei je?
  4. M

    Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

    Haifa imara 23 March 2015, Mengi 17 April 2015, Zitto Leo,kulikoni? Au ndo kumuogopa mengi?
  5. M

    Shule 8 zafungwa Kagera kwa kukosa Chakula, Vipi vipaumbele vya Wanasiasa wetu?

    Halafu tunaaminishwa elimu itatolewa bure!!!!!!!!
  6. M

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Ahsante,tatizo la madereva wengi unatuponza ubabe na sifa.
  7. M

    Ajali mbaya Wilayani Hanang' - watu saba wapoteza Maisha

    Leo ni siku ya ajali RATCO na NGORIKA huko Msata watu zaidi ya 10 wamepoteza maisha.HAPPY NATION huko Mikumi wawili wamepoteza maisha.KILIMANJARO toka Arusha _Dar limeacha njia hakuna aliyejeruhiwa. Na hawa wa power tiller na Fuso ndo funga kazi.Yote tumwachie mola.
  8. M

    Huko Geita panuka tena; ngumi zachapwa kwenye kikao cha CHADEMA

    Jaman hao ni kundi la watia nia ya ubunge na udiwani kwa tiketi ya ugombea binafsi, hivyo hawezi kutaja chama,ingawa Sheria ya mgombea binafsi inakuja.
  9. M

    Makamu Mwenyekiti BAVICHA Taifa akamatwa na Polisi

    Umekufa wewe,mbona mnaweweseka sana kama BaVicha imekufa?
  10. M

    Zitto: Wabunge zaidi 50 wa vyama mbalimbali kujiunga na ACT

    Ameamua kupotea kisiasa. Mwache aende
  11. M

    Mgomo mkubwa wanukia Ijumaa

    Sio kama mgomo ulishaanza hapana ni maelekezo ya seriKali kwamba mabasi yanatakiwa kuendeshwa kilomita 80 kwa saa(80km/hr) na atakakaye kiuka hilo atanyang'anywa leseni na aende kusoma upya.
  12. M

    Ni Chama Gani Kitaathirika Ikiwa Sifa ya Ubunge Itafanywa Walau Kidato Cha Nne?

    Depo Danga(Mbunge wa. Njombe mashariki,)ni darasa la ngapi? Na yule wa jimbo la mtera je?
  13. M

    Askari wawili wauawa na majambazi Kongowe

    Intelijensia ya polisi inafanya kazi gani hadi tunapoteza askari wetu?
Back
Top Bottom