Recent content by Mdf

  1. Mdf

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Naibu Waziri wa Michezo, Paul Makonda?

    Kweli hatujamzoea hivi,au bado anajipanga kiroho kwa ajili ya majukumu mapya
  2. Mdf

    JamiiForums Tanzania Akaunti na mali zote za Kanisa la Gwajima zifungwe na zikabidhiwe kwa kabidhi wasii mkuu wa serikali haraka popote zilipo

    Nyie ndio mnao mpoteza bi mkubwa,anachokifanya atakuja kuwalaumu waliomshauri kuwa mwanasiasa
  3. Mdf

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuna baadhi ya wana Ukawa mpaka leo hawazungumzi naye. Aliwauza Dr. Slaa

    Porojo tupu,mlikuwa wapi!?hizi sio kampeni za kutafuta kura,Dr Slaa ana zuri gani la kumzidi Mbowe,yeye si ndio alikuwa wa kwanza kukimbia chadema!?
  4. Mdf

    JamiiForums Tanzania Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

    nakumbuka lile Roli tu tumewahi kulitumia kwenda kwenye michezo hili lilikuwa tayari lipo ICU 1998-2001
  5. Mdf

    JamiiForums Tanzania Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

    NImekaa Meru 2002-2004
  6. Mdf

    JamiiForums Tanzania Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

    mnamkumbuka Adora na Sikitu walezi wa wana
  7. Mdf

    JamiiForums Tanzania Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

    Luthuli enzi za mwalimu Matari
  8. Mdf

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

    Vina muda basi,Mungu siyo mjomba kama wenye madaraka wanavyofikiri,pamoja na madaraka yao makubwa waliyonayo ,Bado yupo mwenye madaraka makubwa zaidi.Nakama alivyoamua kwa busara ugomvi wa miaka mitatu iliyopita ataamua na huu pia.
  9. Mdf

    JamiiForums Tanzania Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Mshana Jr njoo tusaidie kidogo hapa tumekwama wanafunzi wako.
  10. Mdf

    JamiiForums Tanzania Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Mtu amekuwa chief of staffs halafu asiwe na sifa za kuwa CDF!?unajua hata itifaki za mgambo kweli!?
  11. Mdf

    JamiiForums Tanzania Wenye nyumba kuweni waelewa

    Kuna muda wapangaji wenyewe wanazingua,nimempangisha dogo mmoja na mkewe wanajitafuta kimaisha.Maana hata sielewi wanachofanya,hajalipa Kodi yangu zaidi ya miezi minne sasa juzi naliuliza hela yangu vipi January hii lilivyokosa akili linanipandishia eti kuna wapangishaji wengine wanakaa hata...
  12. Mdf

    JamiiForums Tanzania Kwanini nawahusisha Mkuu wa Wilaya na OCD Lindi kwenye kifo cha mtoto wangu...

    Shule ya girls, boarding siyo rahisi Sana kupata details hasa kwa muda huu mchache tangu tukio litokee.
  13. Mdf

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Halafu unamsikia mtu anasema wanafilisika,kanji ameshatuzidi ujanja kufilisika siyo rahisi nimeangusha treni tatu halafu zote zilibakiza gemu siyo zaidi ya nne,toka Jana kanifungia cash out alijua alichokuwa anataka kufanya, mbavu zake acha mapambano yaendelee
  14. Mdf

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Point yangu siyo wao wanatengeneza lakini kwa utafiti wa platform hii tu sijui kwingine inawezekana wao wakawa wanafanya biashara zaidi kuliko wenzao michongo tunayopeana humu asilimia zaidi ya 90 ni betpower.Inawezekana mifumo yao inazidiwa.ingekuwa wanapata hasara wangebadilisha strategy zao.
Back
Top Bottom