Recent content by mdaumie

  1. M

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum hii nimeipenda.
  2. M

    CHADEMA: Israel ituombe radhi

    Neno kwa Dr. jakaya kikwete na serikali yake. Jirani akikuambia nyoka yupo ndani mwako ,usimuulize yuko wapi,wewe chukua hatua kumtafuta na kumuua huyo nyoka kwa maoni yangu nafikiri Barak hakuwa anawasema Watu wa tanzania bali Serikali ya Tanzania)
  3. M

    "if you are stand for nothing,you will fall for anything"

    Leo wana JF katika pitapita mitandaoni nimekuta hiii quote "if you are stand for nothing,you will fall for anything" nikaitafakari kwa mapana kwangu mie binafsi na taifa langu Tanzania.Je nini mimi binafsi nimesimamia na je nini Tanzania imesimamia? majibu kuhusu mimi binafsi nimejijibu na...
  4. M

    This is mathematics

    from a+b=c,means a+b-c=0. then 4(a+b-c)=3(a+b-c) will be 4(0)=3(0),you can't divide by 0,but you can multiply by 0. so the end result will 0=0
  5. M

    plz nisaidie kama unaweza, then issue ikitiki. mi ntakutoa

    Leo nimepata huu ujumbe(plz nisaidie kama unaweza, then issue ikitiki. mi ntakutoa ) kama private message heading na body viko sawa Nahisi hili ni bomu.
  6. M

    Mac OS

    Nahitaji Mac Os operating system kwa Apple netbook! Mwenye link ya kudownload tafadhali.
  7. M

    Rais Kikwete na mipango ya uchumi kwa Tanzania miaka 5 ijayo

    Leo ITV na TBC nimeona viti 2 vikiwa vimekaliwa na maji ya chupa ya kunywa mpaka mwisho wakati wa uzinduzi aliofanya Kikwete leo Dodoma. kwa wanaJF hii inaashiria nini?
  8. M

    Fedha za Radar Kurudishwa: Mgogoro kati ya BAE, TZ na UK

    Mimi naona ni heri hizo pesa kulipwa kupitia hizo charity kuliko apewe mwizi JK.
  9. M

    CHADEMA yatangaza maandamano Kigoma

    kuna thread moja nimeiona mdau ki ukweli jamaa ameandika ukweli mtupu kabisa.
  10. M

    Mwitikio wa Wananchi juu ya Mlipuko wa Mabomu Gongo la Mboto

    mimi kama mdau wa mageuzi nashauri huu ndio mwanzo wa mageuzi. kwa picha zaidi Mdausoft Corporation
  11. M

    Pinda Bungeni - Taarifa ya Mabomu kulipuka, Bunge laahirishwa

    hii ni noma kwa picha zaidi tembelea Mdausoft Corporation
  12. M

    Pinda Bungeni - Taarifa ya Mabomu kulipuka, Bunge laahirishwa

    hii ni noma kwa picha zaidi tembelea hapa <a href="http://mdau.kislat.com/blog/index.php"> hapa</a>
  13. M

    JK atoa kafara MSOGA

    sure
  14. M

    JK atoa kafara MSOGA

    Staili ya uchinjaji iliyokuwepo ni tofauti na anavyochinja siku zingine.
Back
Top Bottom