Recent content by MDAUKWELI

  1. M

    Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

    acha ukuda, nani kakwambia mbwiga we, mbona wengine wengi hawajaenda? umeongea hao tu, ni mgawanyo wa majukumu tu ndo umewafanya wasifike huko. we unajifanya mwanasisiemuuuu na wakati umefulia tu, hata mia huna, kama unazo za wizi au za hao mafisadi wenzio, acha ukuda wako!
  2. M

    Kila siku Najiuliza Sipati Jibu

    we mbona mnaweka upukurupukuru jamani, halafu hapo umeandika BE marufuku kuchangia hapa, unamaanisha nn na BE? Building Economics?
  3. M

    Looking for a husband

    mie niko tayari, ila sitaki wa kufa na kuzikana, maana sitegemei kufa leo au kesho, awe tayari kubadirisha hiyo kauli ya kufa na kuzikana, na iwe kuishi milele!
  4. M

    Za ukweli kuhusu tahadhari ya milipuko ya mabomu gongola mboto!

    Nimepata taarifa kutoka kwa wadau wenzangu kuwa mkuu wa kulinda ghala za mabomu huko gongolamboto alikwisha andika barua kuomba kambi za mabomu zihamishwe Mbali na eneo la kambi hizo kwa mkuu wake mara mbili mfululizo lakini hakuna hatua iliyochukuliwa, japo hawa jamaa wanajifanya kusema kuwa ni...
  5. M

    Kikwete anamfahamu Al Adawi!

    Mtemakuni, ni kwamba wanadai hata hao wahariri walichaguliwa wale ambao wangeendana na matakwa yao, sidhani kama angeenda side kubenea angeweza kubali kutoka bila picha. Watakuwa waliwaruhusu wale wa uhuru media tu!
Back
Top Bottom