Za ukweli kuhusu tahadhari ya milipuko ya mabomu gongola mboto! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Za ukweli kuhusu tahadhari ya milipuko ya mabomu gongola mboto!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MDAUKWELI, Feb 22, 2011.

 1. M

  MDAUKWELI Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimepata taarifa kutoka kwa wadau wenzangu kuwa mkuu wa kulinda ghala za mabomu huko gongolamboto alikwisha andika barua kuomba kambi za mabomu zihamishwe Mbali na eneo la kambi hizo kwa mkuu wake mara mbili mfululizo lakini hakuna hatua iliyochukuliwa, japo hawa jamaa wanajifanya kusema kuwa ni ajari/bahati mbaya. Na pia kambi moja na nisiwe mchoyo wa habari, ya lugalo pia ilikwisha andika barua kuomba wahamishe ghala ya mabomu ya eneo hilo, lakini no response from wakubwa. Sasa jamani tukisema uzembe hawa jamaa wanakataa, sasa nadhani itakuwa zamu ya watu wanaoishi jirani na maeneo ya lugalo.
  My suggestion;
  1. Wananci tuchukue hatua maana viongozi wa juu wakipelekewa taarifa za tahadhari wanazitia kapuni na isitoshe wanawapa yale maklaratasi wake zao wafungie maandazi na kusema, watakoma wenyewe.

  2. Wadau toeni michango yenu, tufanyeje maana hakuna aliye tayari kuwajibika kwa suala linalowahusu wananchi?
   
 2. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Mwaga evidence ya hiyo barua hapa. Mimi pia nimesikia kuwa iliandikwa barua kuomba kambi zote za jeshi maeneo ya dar na kibaha zihamishiwe mtwara na kigoma.
   
Loading...