Recent content by mdaugeu

  1. M

    TAARIFA: Maendeleo ya Afya ya Kibanda

    Get well soon Kibanda, na namwomba Mungu wetu sote akaseme na nyoyo zetu mmoja mmoja tukakumbuke kwamba tusiwatendee wenzetu yale ambayo tusingependa kutendewa, pia tukumbuke faida na furaha tunayoitafuta kwa kuwakanyaga na kuwadhulumu wenzetu ni nya muda na mola hatasita kutupatiliza:crying:
  2. M

    kama ni kweli ulitumia njia hii kupata ubunge, baasi Mbatia umechemka..

    Hii staili ya kuthibitisha jina lako nimeikubali
  3. M

    Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    This is very positive thinking, Mbalamwezi umekuwa constantly a real great thinker, bravo
  4. M

    Hongera LULU umewakilisha mateso ya wanawake Duniani

    Cant comment una uhuru wa kutoa maoni yako, wish the dead could speak tungepata story za upande wa pili wa shilingi, but is gone RIP Steve will be the last person to judge u
  5. M

    Joyce Kiria: Darasa la saba tu lakini mambo makubwa

    Italeta tija zaidi tukisaidia kuwapa mlango wa kutokea, je ni kweli kwamba milango yote ya watu kujiendeleza imefungwa? Kama ambavyo tungependa iwe all the real great thinkers wasaidieni wale wote wenye nia ya kujiendeleza wakiwemo hawa wasanii wachote hekima zenu siyo kuwavunja moyo tu-hope...
Back
Top Bottom