Recent content by Mdau35

  1. Mdau35

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Je, inaweza kuchukua mda gani mahamani mpaka divorce ikawa final?
  2. Mdau35

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani web site za kudownload new movies

    o2tvseries
  3. Mdau35

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kimara Mavurunza

    Nyumba inauzwa iko Kimara Mavurunza, bei milioni 280, kwa mawasiliano zaidi wasiliana nami kwa no 0789112777[IM][/IMG]
  4. Mdau35

    JamiiForums Tanzania Mwenye utaalamu wa internet

    Nenda kwenye settings za simu yako then mobile network, then access point name then unachagua hiyo line na kuset APN ya mtandao husika, ukishindwa piga customer care wakutumie settings
  5. Mdau35

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kupima uwezo wa kuzaa kabla ya kufunga ndoa?

    Amrudie Mungu na afanye toba ya kweli atapata anachohitaji
  6. Mdau35

    JamiiForums Tanzania Ukubali usikubali: Hakuna njia nyingine ya kuepukana na tamaa ya uzinzi/uasherati zaidi ya WOKOVU

    Hilo ndio tatizo kubwa la walokole wengi walio makanisani Leo, wanasahau kuwa Yesu alikuja kwa wenye dhambi ili wapate kutubu.
  7. Mdau35

    JamiiForums Tanzania Ukubali usikubali: Hakuna njia nyingine ya kuepukana na tamaa ya uzinzi/uasherati zaidi ya WOKOVU

    Wote tumefanya dhambi na kupungukiwa na utakatifu ndio maana tunaishi kwa Neema, ni kwa toba yakila dakika na kila sekunde yaweza kutupa utakaso.
  8. Mdau35

    JamiiForums Tanzania Ukubali usikubali: Hakuna njia nyingine ya kuepukana na tamaa ya uzinzi/uasherati zaidi ya WOKOVU

    Kuna zinaa ya mwili na ila ya kutokumwabudu Mungu so katika bibilia zinaa iko kwa mambo mengi sio tu kukutana na mwanamke
  9. Mdau35

    JamiiForums Tanzania Umesharudia matapishi mara ngapi?

    Neno kuntu
  10. Mdau35

    JamiiForums Tanzania Maofisini huku nako ni zaidi ya ukuonavyo, mambo siku zote ni nje ndani

    Lara1 katika ubora wake.
  11. Mdau35

    JamiiForums Tanzania If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

    Mimi kumuachia Mungu sipo kabisa mana kama ni kweli aliumba mwanadamu na kumkabidhi milki yote ya duniani ni jukumu langu sasa kumiliki na kutawala yeye kazi yake iliishia hapo
  12. Mdau35

    JamiiForums Tanzania If God knows the future (omniscient), can you change your destiny?

    Huenda kwa habari ya huko kuitwako kuweko au kutokuwepo kwa Mungu kuna mengi ya kutafuta kujua
  13. Mdau35

    JamiiForums Tanzania Forbidden knowledge, why?

    Hapa itabidi nifatilie kwa ukaribu zaidi...
  14. Mdau35

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa

    Nyumba ya kuishi mpya inauzwa wilayani Mwanga mjini. Bei ni maelewano, kwa mawasiliano 0784900530
Back
Top Bottom