Kuna mdogo wangu amechaguliwa kigonigoni sekondari naskia ipo wilaya ya mwanga kilimanjaro kama kuna mwanajamii aliyechaguliwa hapo au anapajua ili kupata joining instruction naomba msaada wadau unaweza weka namba pia tumia namba 0712905698
Wana JF hapa mimi naona ubishi utakesha ila mambo yako kama hivi,nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu juu ya mkwanja kwa upande wa mishahara ya kada mbalimbali kiserikali haipishani sana ila mambo y dharau na kudharauliana hayana connection na Elimu ya waalimu kwa maana ya kwamba wamefeli hyo...
Umesomeka mdau takutafuta napajua ni pazuri mno sengerema nshawahi kufanya kazi hapa by the way maisha mazuri affordable na huduma za kijamii pia zinachangamka mimi nakukarbisha sana
Wadau nahitaji kwenda ilemela au nyamagana niko Sengerema naombaa wa kubadilishana na mwl. Anaehitaji kuja sengerema idara ya sekondari 0712905698 & 0786952954
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.