Ndugu wana JF habari,
Ninapata ugumu sana inapokuja kwenye suala la Scholarship za kusoma nchi za nje, hasa kwa nchi zinazo endelea. Kuna Scholarship naziona mitandaoni kama zile za Undergraduate, Masters na Phd kwa nchi zinazo endelea, mfano Chevening, commonwealth, Fulbright, mastercard na...