Recent content by Mdau Makin

  1. Mdau Makin

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mh. Heche toa mkono mfukoni unapozungumza na mimi, wewe ni kama mwanangu wa kumzaa

    akitoa pesa nyingi pia mtahoji amezitoa wapi
  2. Mdau Makin

    JamiiForums Tanzania Unatumia bando la internet kiasi gani kwa mwezi?

    Kweli hii ni mikwara ya andunje
  3. Mdau Makin

    JamiiForums Tanzania Unatumia bando la internet kiasi gani kwa mwezi?

    Umetisha mkuu
  4. Mdau Makin

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kutana na dalali wa nyumba na viwanja jijini Arusha & Dar es salaam

    Habari Zenu Machief! Taarifa Ni Hii... Kwa Mahitaji Ya Vyumba, Nyumba, Viwanja, Mashamba, Plot,Yard, Godown/Warehouse,Ofisi ya biashara, Frem, Beach, magari (usafiri wowote) n.k sehemu Yoyote Ndani Ya Mikoa ya Arusha na Dar es salaam Pia Kwa Mwenye Nyumba,Plot,Kiwanja, Mashamba,Beach,Magari Nk...
  5. Mdau Makin

    JamiiForums Tanzania KUTANA

    Habari Zenu Machief! Taarifa Ni Hii... Kwa Mahitaji Ya Vyumba ,Nyumba, Viwanja,Mashamba,Plot,Yard, Godown/Warehouse,Ofisi ya biashara, Frem, Beach,magari (usafiri wowote) n.k sehemu Yoyote Ndani Ya Mikoa ya Arusha na Dar es salaam Pia Kwa Mwenye Nyumba,Plot,Kiwanja, Mashamba,Beach,Magari Nk...
  6. Mdau Makin

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya gunia la mahindi kwa sasa hapa dar es Salaam, bei ya jumla

    Mkuu kwenu wapi..? Nicheki basi 0755989048 Asante,
  7. Mdau Makin

    JamiiForums Tanzania Polisi yawaonya Viongozi wa Makundi ya WhatsApp. Yawataka kutoa taarifa kuhusu uhalifu utakaofanyika kundini

    Wanatetemeka, wanaogopa nini hasa... Hawajui kuwa Wasapu ipo hand to hand encrypted....? Wadukue kama wanaweza nyambafu.... Wabunifu Wa huu mtandao walishajua saro iatawafatilia sana RAIA wake.... So wakatuwekea... SEKYURITI
  8. Mdau Makin

    JamiiForums Tanzania TRA: Tumekusanya jumla ya Shilingi Trilioni 3.65 kuanzia Julai hadi Septemba 2017(Robo ya kwanza mwaka wa fedha 2017/18)

    Hii taarifa imeonekana kuwa ni fake... Maana takwimu inaonyesha makusanyo ya mwezi September wote....ilihali barua imechapishwa tarehe 10/09/2017.... Hamuoni kuwa tumeongopewa hapo...? Mnaopongeza inabidi tuwachunguze vyeti...
  9. Mdau Makin

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Nini kifanyike kuwadhibiti madalali wa nyumba, vyumba, mashamba, gari n.k?

    We Anakuambia hivi kwakuwa hukuitafuta nyumba mwenyewe Ila kwa msaada wa dalali.... Kama ndivyo basi inakubidi utumie the same way uliyoitumia mpaka ukaijua nyumba... kama uliijua nyumba mwenyewe bila dalal je dalali anahusikaje hapo..? Tafuta nyumba, kiwanja peke yako alafu uone kama dalali...
  10. Mdau Makin

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Nini kifanyike kuwadhibiti madalali wa nyumba, vyumba, mashamba, gari n.k?

    Kila kazi inachangamoto yake bandugu.... Na hakuna kazi nyepesi.....
  11. Mdau Makin

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Nini kifanyike kuwadhibiti madalali wa nyumba, vyumba, mashamba, gari n.k?

    Hivi bado mnamda wa kubishana na huyu Mr.Zero...?
  12. Mdau Makin

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    kichaa kapewa rungu yangu macho wajameni.............
  13. Mdau Makin

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kutoka Arusha nimo usinisahau..
Back
Top Bottom