Recent content by mdanganyika2009

  1. M

    GE2010 Naomba kuwajua waliotangaza nia kugombea ubunge jimbo la ukonga na ilala

    Phares udumu daima, Huyo mtoa rushwa kajichokea zake Plz naomba mwenye taarifa za wote wanaogombea wandugu mnimwagia hapa.
  2. M

    GE2010 Naomba kuwajua waliotangaza nia kugombea ubunge jimbo la ukonga na ilala

    Wana JF naombeni mwenye kuwajua wanaotarajia kugombea ubunge jimbo la Ukonga na Ilala ikibidi nawasifu wao. Ninatanguliza shukrani zangu za dhati
  3. M

    Namtafuta anna kisanga

    She is my classmate at Mkwawa High School as it was by then. Natafuta contacts zake, I am arleady married so is just a normal communications. Personally, I am in Belgium and I have provided my e-mail address which is the fast way of communication. Nawashukuru wote mnaojitahidi kuutoa muda...
  4. M

    Namtafuta anna kisanga

    Wana JF na wadau wote, naomba mnisaidie ambaye anamfahamu na mwenye kuntact za dada ANNA KISANGA anitumie kwa email amani20001@live.com Nawatafuta niliosoma nao mkwawa high school, dada Anna ni miongoni mwao. Nitashukuru kwa atakayenisaidia.
  5. M

    Hodi hodi naingia

    Hodi hodi ,naingia ndani Jina langu, ni siri yangu Mdanganyika2009, ndivyo nimeitwa Hodi hodi naingia ndani. Hodi hodi, naingia ndani Kaka dada, baba mama Nawasihi mnipokee, mdanganyika2009 naingia Hodi hodi naingia ndani.
Back
Top Bottom